Yanga bila Fiston Mayele haitakuwemo kwenye Top 4

Kuanzisha nyuzi kama hizi inabidi uwe na akili kama za mwendawazimu sasa li uzi limekudodea na Yanga ndio anaongoza league bila huyo Mayele sijui unasikiaje au maumivu yamekaaje uko..
 
Kuanzisha nyuzi kama hizi inabidi uwe na akili kama za mwendawazimu sasa li uzi limekudodea na Yanga ndio anaongoza league bila huyo Mayele sijui unasikiaje au maumivu yamekaaje uko..
Asee
 
Kamanda! Umeyatimba huku!! 😱
 
Hata wewe ulidiriki kusema hivi? Hukujua kuwa Yanga ni Tasisi kubwa?
 
Hii nchi ndo maana tuko maskini sana badala vijana watumie elimu zao kuliletea taifa maendeleo wao wako busy kupiga ramli chonganishi kama hizi. Ovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…