Yanga bila kupata mshambuliaji namba 9 haiendi popote

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Tuache kujipa moyo eti mfumo wetu tunaweza shinda bila namba 9 mwenye quality ya juu. Pengo linaonekana harry kane au haaland anahitajika. Hakuna timu duniani imechukua kombe kubwa bila kuwa na namba 9 wa maana.

Mzize, Konkoni na Musonda wameprove failure.
 
Mkuu lakini yanga leo wameupiga,nashangaa why Yanga wakifungwa wanakuwa aggressive zaidi lakini bila kufungwa mtakimbizana kwanza, nakiri Yanga wapo vizuri tu,wangekutana tena na hii simba yetu wana uwezo wakutupasua tena,mpira wanaocheza ni tofauti,wangeendelea kucheza ule mpira wao walioanza nao ushindi ulikuwa wazi ,ila Al Ahly wajanja wakaupooza mchezo halafu wakifanya shambulizi ni gafla na pasi zinazofika,wakipata tu wanaupooza mpira tena ndo sehemu Yanga waliwezwa
 
Mkuu lakini yanga leo wameupiga,nashangaa why Yanga wakifungwa wanakuwa aggressive zaidi lakini bila kufungwa mtakimbizana kwanza, nakiri Yanga wapo vizuri tu,wangekutana tena na hii simba yetu wana uwezo wakutupasua tena,mpira wanaocheza ni tofauti
Hili linanishangaza pia, fightng spirit yao wanaipata baada ya kufungwa.
 
Asante.
 
Naona ni kama wanajihami,wakifungwa wanaona lolote na liwe,lakini naona Yanga kuna mapungufu madogo,hizo nafasi anazosema jamaa kama namba 9 na mabeki wawili wazuri zaidi naona watakuwa kama Mamelodi ( mpira unafanana kwa mbali kidogo)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naliona hilo pia, namba 9 ni wamuhimu sana nadhani january watalishughulikia hilo.
 
Yanga wanacheza mpira mzuri na wa kasi ila hiyo style inahitaji kutumia energy kubwa. Msimu ukifika katikati kuna uwezekano watakata moto.

Wajifunze kujua mida sahihi ya kupoza mpira na mida ya kuongeza kasi ili kulinda energy yao isitumike bila sababu. Wanapojisifu kuzifunga JKT 5 wajue wanatumia energy kubwa ambayo inaweza isiwepo siku wanapoihitaji na wakisubiri mpinzani ndiyo aamue pace ya mchezo itawacost kama ilivyokuwa leo kipindi cha pili.
 
Mkuu lakini yanga leo wameupiga,nashangaa why Yanga wakifungwa wanakuwa aggressive zaidi lakini bila kufungwa mtakimbizana kwanza, nakiri Yanga wapo vizuri tu,wangekutana tena na hii simba yetu wana uwezo wakutupasua tena,mpira wanaocheza ni tofauti,wangeendelea kucheza ule mpira wao walioanza nao ushindi ulikuwa wazi ,ila Al Ahly wajanja wakaupooza mchezo halafu wakifanya shambulizi ni gafla na pasi zinazofika,wakipata tu wanaupooza mpira tena ndo sehemu Yanga waliwezwa
Wewe unaujua Mpira,umechambua kwa ufupi lakini kwa weledi mkubwa
 
Tuache kujipa moyo eti mfumo wetu tunaweza shinda bila namba 9 mwenye quality ya juu. Pengo linaonekana harry kane au haaland anahitajika. Hakuna timu duniani imechukua kombe kubwa bila kuwa na namba 9 wa maana.

Mzize, Konkoni na Musonda wameprove failure.
tulia rafiki tulia,yanga tutatoboa
 
Mkuu lakini yanga leo wameupiga,nashangaa why Yanga wakifungwa wanakuwa aggressive zaidi lakini bila kufungwa mtakimbizana kwanza, nakiri Yanga wapo vizuri tu,wangekutana tena na hii simba yetu wana uwezo wakutupasua tena,mpira wanaocheza ni tofauti,wangeendelea kucheza ule mpira wao walioanza nao ushindi ulikuwa wazi ,ila Al Ahly wajanja wakaupooza mchezo halafu wakifanya shambulizi ni gafla na pasi zinazofika,wakipata tu wanaupooza mpira tena ndo sehemu Yanga waliwezwa
Kimsingi mechi ya jana Gamondi kajitahidi sana kuiheshimu Al Ahly. Hii mistake aliifanya kule Algeria. Kule Angecheza namna hii wasingefungwa tatu. Wanted raw au kufungwa 1.

Game ilikuwa nzuri na jamaa wamecheza kwa discipline ya hali ya juu. Kwa Wanayanga wenye Akili. Point moja ilikuwa halali tusianze maneno ya kitoto kama ya mashabiki wa Simba.
 
Yanga inanyima matumaini, nafasi nyingi umaliziaji mbaya. Inahangaika kukimbiza mpira lakin haimalizi vizuri. Haiwez kutoboa hapo kundini
 
Sawa lakini kwa approach na game ya jana walikuwa sawa kabisa. Kimsingi ni kweli pale Mbele hakuna mbadala wa Mayele ni sawa na Simba tu kutokuwa na mbadala wa Inonga na Malone.
 
Yanga waliheshimu mpinzani,na pia Ahly alikuwa anathema defensive game hadi watu 8 wakilinda goli na idadi ndogo ya wachezaji wa Yanga kwenye eneo la mpinzani lilichangia kupata nafasi chache za kufunga yaani 4 dhidi ya 7 za Al ahly.Gamondi alijitahidi kubadili mchezo kila kipindi ila wachezaji walishindwa kutoka kwenye mtego wa Ahly kupooza mchezo
 
Back
Top Bottom