sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Hili linanishangaza pia, fightng spirit yao wanaipata baada ya kufungwa.Mkuu lakini yanga leo wameupiga,nashangaa why Yanga wakifungwa wanakuwa aggressive zaidi lakini bila kufungwa mtakimbizana kwanza, nakiri Yanga wapo vizuri tu,wangekutana tena na hii simba yetu wana uwezo wakutupasua tena,mpira wanaocheza ni tofauti
Asante.Mkuu lakini yanga leo wameupiga,nashangaa why Yanga wakifungwa wanakuwa aggressive zaidi lakini bila kufungwa mtakimbizana kwanza, nakiri Yanga wapo vizuri tu,wangekutana tena na hii simba yetu wana uwezo wakutupasua tena,mpira wanaocheza ni tofauti
Naona ni kama wanajihami,wakifungwa wanaona lolote na liwe,lakini naona Yanga kuna mapungufu madogo,hizo nafasi anazosema jamaa kama namba 9 na mabeki wawili wazuri zaidi naona watakuwa kama Mamelodi ( mpira unafanana kwa mbali kidogo)Hili linanishangaza pia, fightng spirit yao wanaipata baada ya kufungwa.
SPAINHakuna timu duniani imechukua kombe kubwa bila kuwa na namba 9 wa maana.
Naliona hilo pia, namba 9 ni wamuhimu sana nadhani january watalishughulikia hilo.Naona ni kama wanajihami,wakifungwa wanaona lolote na liwe,lakini naona Yanga kuna mapungufu madogo,hizo nafasi anazosema jamaa kama namba 9 na mabeki wawili wazuri zaidi naona watakuwa kama Mamelodi ( mpira unafanana kwa mbali kidogo)
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo waache ubahiri mzize na msonda Bado sanaTuache kujipa moyo eti mfumo wetu tunaweza shinda bila namba 9 mwenye quality ya juu. Pengo linaonekana harry kane au haaland anahitajika. Hakuna timu duniani imechukua kombe kubwa bila kuwa na namba 9 wa maana.
Mzize, Konkoni na Musonda wameprove failure.
Wewe unaujua Mpira,umechambua kwa ufupi lakini kwa weledi mkubwaMkuu lakini yanga leo wameupiga,nashangaa why Yanga wakifungwa wanakuwa aggressive zaidi lakini bila kufungwa mtakimbizana kwanza, nakiri Yanga wapo vizuri tu,wangekutana tena na hii simba yetu wana uwezo wakutupasua tena,mpira wanaocheza ni tofauti,wangeendelea kucheza ule mpira wao walioanza nao ushindi ulikuwa wazi ,ila Al Ahly wajanja wakaupooza mchezo halafu wakifanya shambulizi ni gafla na pasi zinazofika,wakipata tu wanaupooza mpira tena ndo sehemu Yanga waliwezwa
tulia rafiki tulia,yanga tutatoboaTuache kujipa moyo eti mfumo wetu tunaweza shinda bila namba 9 mwenye quality ya juu. Pengo linaonekana harry kane au haaland anahitajika. Hakuna timu duniani imechukua kombe kubwa bila kuwa na namba 9 wa maana.
Mzize, Konkoni na Musonda wameprove failure.
Kimsingi mechi ya jana Gamondi kajitahidi sana kuiheshimu Al Ahly. Hii mistake aliifanya kule Algeria. Kule Angecheza namna hii wasingefungwa tatu. Wanted raw au kufungwa 1.Mkuu lakini yanga leo wameupiga,nashangaa why Yanga wakifungwa wanakuwa aggressive zaidi lakini bila kufungwa mtakimbizana kwanza, nakiri Yanga wapo vizuri tu,wangekutana tena na hii simba yetu wana uwezo wakutupasua tena,mpira wanaocheza ni tofauti,wangeendelea kucheza ule mpira wao walioanza nao ushindi ulikuwa wazi ,ila Al Ahly wajanja wakaupooza mchezo halafu wakifanya shambulizi ni gafla na pasi zinazofika,wakipata tu wanaupooza mpira tena ndo sehemu Yanga waliwezwa
Yanga inanyima matumaini, nafasi nyingi umaliziaji mbaya. Inahangaika kukimbiza mpira lakin haimalizi vizuri. Haiwez kutoboa hapo kundiniKimsingi mechi ya jana Gamondi kajitahidi sana kuiheshimu Al Ahly. Hii mistake aliifanya kule Algeria. Kule Angecheza namna hii wasingefungwa tatu. Wanted raw au kufungwa 1.
Game ilikuwa nzuri na jamaa wamecheza kwa discipline ya hali ya juu. Kwa Wanayanga wenye Akili. Point moja ilikuwa halali tusianze maneno ya kitoto kama ya mashabiki wa Simba.
Father unaongea kwakumaanisha au kejeli?Naona ni kama wanajihami,wakifungwa wanaona lolote na liwe,lakini naona Yanga kuna mapungufu madogo,hizo nafasi anazosema jamaa kama namba 9 na mabeki wawili wazuri zaidi naona watakuwa kama Mamelodi ( mpira unafanana kwa mbali kidogo)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa lakini kwa approach na game ya jana walikuwa sawa kabisa. Kimsingi ni kweli pale Mbele hakuna mbadala wa Mayele ni sawa na Simba tu kutokuwa na mbadala wa Inonga na Malone.Yanga inanyima matumaini, nafasi nyingi umaliziaji mbaya. Inahangaika kukimbiza mpira lakin haimalizi vizuri. Haiwez kutoboa hapo kundini
Mkuu HV Fernando Torres alikua ni kipaSPAIN
David Villa?SPAIN