Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Goli walilofungwa Yanga kama ndio wangefungwa Mtibwa ungesikia Yanga wamenunuwa mechi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii game tukifungwa lawama namtupia gamondi
MmelikaNINI KIMETOKEA HUKO
HAPA NET NDIO INASHIKA
Wakati hui Yanga wakipata point moja tu atafikasha point 69 Simba na Azam zitakiwa zishinde mechi zao zote zilizobakia ili azifikishe hizo point ili goal difference ndio iamue ubingwa. Ila akipata point mbili tu basi hakuna timu itakoyoweza fikisha point za YamgaMungu saidia matokeo yawe Haya haya na mechi ijayo wafungwe na Dodoma.
Katwila sio mtu mzuri kwa Yanga tangu akiwa Ihefu og katuliza sana wana YangaHawa watoto wameshatudinya aisee 😭😭😭
Unaweza waonea huruma Mtibwa ila wenyewe sasa.Sasa hadi Aziza yuko kikosini na mdaka mishale umlaumu kocha
Na kitendo cha kumtoa Diarra na kumuingiza Mshery ndio kabisa ingegongelea zaidi wimbo wa kununua mechiGoli walilofungwa Yanga kama ndio wangefungwa Mtibwa ungesikia Yanga wamenunuwa mechi.
Joto linazidi kupandaGuede ninyooshee hawa Mtibwa
Tunawa~ZoomFriends of Mtibwa
Hawa wachezaji wanavyocheza ni kama walilala CasinoBado nina imani ujue
Ni sahihi kumlaumu kama ndiye aliyetoa maelekezo kwa wachezaji wafungwe na pia wasifunge magoli. Wakina Nzengeli na Lomalisa wamekosa magoli la wazi kabisa.Hii game tukifungwa lawama namtupia gamondi
Kazi tunayo aiseeKatwila sio mtu mzuri kwa Yanga tangu akiwa Ihefu og katuliza sana wana Yanga