Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Kiufupi hiyo mechi haikuwa ya kupima ubora wa Simba au Yanga!Ilikuwa kutimiza ratiba na timu kuangalia wachezaji wake wa akiba wana uwezo gani!Lenu mlilofunga ndani ya dk 90 liko wapi, yaani wanasimba bora mnyamze tu, mnajitetea upuuzi tu
Hili linafanyiwa kazi, soon hutomuona kikosiniSarpong ni tatizo, auzwe tu
Huu ni uongo kiwango Cha lamiYanga walikua na wachezaji wao wote tegemezi full ngwamba,wakati Simba mashine muhimu zote azikuwepo.
Chama.
Luis.
Boko.
Shabalala.
Kapombe.
Nyoni.
Wawa.
Bwalya.
Benchi la ufundi la Simba awakutolea macho hii fainali kwasababu mbele kuna big deal zaidi ya hii fainali ya milioni kumi ya mashindano ya visiwani.
Lengo la mashindano yoyote yale ni kushinda,ila uwezo au nguvu au pesa hufanya matarajio kuwa tofautiMmetolea macho fainali ya milioni kumi mashindano ya visiwani eti!!?
Nyie mbona mmeshindwa ndani ya dakika 90 pamoja na kikosi chenu kipanaFungeni magoli ya ufundi sio penati
Tunawasubiri kwenye ligi,mje na matokeo kama mnavyokujagaHayo magarasa
Mmeumia sana! Hata maneno kama yanawaishia vile.Kha!!,,Yanga washamba sijapata kuona,eti wanapita"oya oya'wanashangilia wamechukua ubingwa wa hii ndondo ya mapinduzi!!
Ama kweli ushamba ni mzigo.
Tena ipi tena jamani?Yanga gani tena jamani?View attachment 1676890
Si mlisema Tanzania kuna team mbili tu? Simba na Azam!!
Kufika mpaka matuta na nyau fc ndio dharau kubwa,on target 0Kufungwa na timu mbovu ni dharau
Kufika mpaka matuta na nyau fc ndio dharau kubwa,on target 0
Yacoub hakucheza sababu ni majeruhi, farid musa, nchimbi hawako first eleven ya yangaMwamnyeto
Kaseke
Lamine moro
Fei toto
Yacouba
Yasin Mustafa
Farid Musa
Nchimbi
Hao uliwaona mle kwenye kikosi cha Yanga?
Sawa, ila mwisho wa yote "Mmefungwa kiume"Kam uliangalia mpira najua uliona Nani alikuwa anakufa mapema.
Lakini pia usisahau kuwa mfungaji Bora katoka Simba, mchezaji Bora katoka Simba,na man of match wa KUTOSHA.
hyo ndo timu BORA.
penalty hazina mwenyewe.
Lile [emoji900]la plastic [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kombe lipi tena jamani?View attachment 1676887