ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hivi unaweza msajiri mchezaji bure?Simba walikuja na sera Yao wanasajili/wanawapa kipaombele wachezaji wa ndani, Yanga wakasena Muddy kafilisika Hana uwezo wa kusajili tena na mashabiki wa Yanga wakaashadadia kweli lakini Nyuma ya pazia kumbe Simba ndio katumia pesa zaidi kuliko Yanga coz kajiokotea wachezaji wa Bure. Sasa imepinduka Simba wanasema Yanga Hana pesa ya kuweka Kambi nje ya nchi na mashabiki wa Simba watashadadia kweli japo Yanga nao watajifanya Haina maana sana kuweka Kambi nje ya nchi. Mashabiki wa hizi timu wanaukichaa kwa mbaali ndio maana Huwa wanazielewa hizi timu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app