Yanga day kupambwa na Red Arrows ya Zambia, Dar itatikisika

Yanga day kupambwa na Red Arrows ya Zambia, Dar itatikisika

Nyinyi nendeni mkashangae mapiramidi! Mkirudi tu, tunawapelekea pumzi ya moto kama kawaida. Hakuna tena sare msimu ujao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na nyie huko matombooo mnashangaa milima ya Uluguru? Msimu huu mtaeleza vizuri,.
 
Huyu si ndiyo yule meneja uchwara wa baadhi ya wachezaji wa ligi kuu aliyepigwa picha akiwa amevaa kanzu chafu na yeboyebo zilizochakaa.

Ana chuki tu binafsi na Yanga.
jamaa kwani kaja na mdogo wake?
utopwinyo mimeno.jpg
 
Back
Top Bottom