Yanga day kupambwa na Red Arrows ya Zambia, Dar itatikisika

Hivi unaweza msajiri mchezaji bure?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mwaka jana tulicheza na zanaco ya huko zambia na ndipo mlipomuonea phiri,sioni ajabu kuwaalika red arrows mwaka huu sema kolo's mnaongea mno
hahahahahaha uwiiiiii na huyu mimeno mlimuonea wapi? phiri alikuw aje mwaka juzi kabisa we kinabo
 
Hivi Yanga yeye alishawahi kualikwa wapi huko duniani kusherehesha kwenye kumbukizi ya Timu nyingine?
 
Lakini kama utakumbuka moja ya sababu za kocha nabi alizokuwa akitumia kujitetea baada ya kufungwa mechi tatu mfululizo ilikuwa ni pre season mbovu
 
Lakini kama utakumbuka moja ya sababu za kocha nabi alizokuwa akitumia kujitetea baada ya kufungwa mechi tatu mfululizo ilikuwa ni pre season mbovu
nani kakuambia utopolo wanahitaji facts ? saa hizi wankuambia pre season hata wakicheza na moro kids ni sawa tu wana team kali sana
 
Mchezaji ghali kwasababu mmepigwa?

Umeuziwa infinix hot 5 kwa bei ya iphone 12 halafu unatamba kuwa umenunua simu yenye bei ghali?
 
Mtoa mada unaweweseka sana na Yanga. Masaa 24 unaiwaza Yanga. Hebu jitafakari Kwa maana umekuwa kama kituko humu jamvini
Huyu si ndiyo yule meneja uchwara wa baadhi ya wachezaji wa ligi kuu aliyepigwa picha akiwa amevaa kanzu chafu na yeboyebo zilizochakaa.

Ana chuki tu binafsi na Yanga.
 
Lakini kama utakumbuka moja ya sababu za kocha nabi alizokuwa akitumia kujitetea baada ya kufungwa mechi tatu mfululizo ilikuwa ni pre season mbovu
Pre seson mbovu ni pamoja na wachezaji kutumia muda mwingi kusafiri, kuchelewa Kwa vibali, wachezaji kukosa pumzi ya kutosha maana Yanga walikua wanamudu kucheza vizuri dk 70 tu.
Muda ulikua mfupi na muda mwingi waliutumia kusafiri dar to Morocco tena safari za kuunganisha unganisha.
Maana inabidi usafiri uende mbaka Ethiopia uka unganishe Ndege nyingine.
 
mbona mna hasira hivi nimetoka kuitwa muongo in a span of 10 seconds to this? kwani mlitarajia team gani wajameni ije?
Leta team ambazo ziko top ten ya CAF au hata top 15 hizo ndo team kubwa
 
Huyu si ndiyo yule meneja uchwara wa baadhi ya wachezaji wa ligi kuu aliyepigwa picha akiwa amevaa kanzu chafu na yeboyebo zilizochakaa.

Ana chuki tu binafsi na Yanga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikuwahi waza wee ni mpoleeee, nikajua una heka heka, kumbee walaaaa, ukiguswaa unakua mpoleeeeeh.

Weraaaaaaaah, vipi matombo huendi kusaidia kutengeneza juice ya miwa.??

Byuti byuti
 
We subiri habari zotoke unakotaka, ila wenzako wapo away forward kuwa mechi itakuwa ni kati yenu na Red Allows. Ni kama ambavyo mliambiwa kuwa pre-season ya turkey imekufa mkabisha ila sasa mmeamini.

CONFIRMED.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na pia kama tulivyoambiwa kuwa Aziz K ni kampeni tu za kisiasa ila hatokuja kuchezea Uto
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikuwahi waza wee ni mpoleeee, nikajua una heka heka, kumbee walaaaa, ukiguswaa unakua mpoleeeeeh.

Weraaaaaaaah, vipi matombo huendi kusaidia kutengeneza juice ya miwa.??

Byuti byuti
Nyinyi nendeni mkashangae mapiramidi! Mkirudi tu, tunawapelekea pumzi ya moto kama kawaida. Hakuna tena sare msimu ujao.
 
Punguza dharau. Kuchukua ubingwa msimu huu kusikufanye uione Simba ya kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…