Yanga haina Daktari wa Timu?

Kwa hiyo Azam wametupa taarifa potofu. Nani wa kulaumiwa katika hili?
Mtangazaji kwani hawezi kukudanganya? Nauliza mpk anaingia uwanjani...kamisaa na refa wahajamuona...tufanye kweli Yanga haina dr..je kamisaa na refa au wao hawakagui macho kama yanaumwa au hayaumi ? Na vipi kama alikua katoka kupona...

Hawa watangazji wa Azam wasiojua equatorial guinea, guinea bisau na guinea ?
 
Mbona unatumia nguvu kubwa kutafuta chaka la kutokea badala ya kuangalia ukweli shairi ulivyo ukitumia ushahidi wa picha na sauti uliopewa?

Kwa mambo yanayofanyika nchi hii kuanzia kwenye michezo hadi kwingine unadhani haiwezekani kwa mchezaji tena wa Deportivo de Utopolo kucheza katika hali hiyo bila mwamuzi wala Kamisaa kumzuia? Kama wanaweza kuzima taa uwanjani katika mechi ya mashindano na kuigeuza kama Sikukuu yao, watashindwa hili?

Usidhani nasema hivi kwa kuwa naona wengine ni malaika. Kuna siku Simba Queens walikuwa wanacheza nadhani ilikuwa ni mechi ya Ngao, kipa akapata mchubuko mkubwa hivi kwenye goti. Niliona daktari wa Simba akimuacha arudi kuendelea na mchezo bila kufunika kile kidonda.
 
Shabikia rede, mpira umekushinda. Yaani kama swala la Yanga kuwa mwenyeji kwenye mechi ya jana hulijui unapoteza muda wako kuulazimisha mchezo uliokushinda kuelewa. Na hata mechi ya Mapinduzi ile anatambulishwa Okrah, Yanga alikuwa ni mwenyeji. Unaweza kunipa sheria na kanuni iliyovunjwa na Yanga kwa kufanya lile tukio? Manchester united walishawahi kumtambulisha mchezaji uwanjani kama walivyofanya Yanga. Sio Manchester tu timu nyingine zimefanya hivyo mfano hata siku PSG wanamtambulisha Messi. Ila wewe kwavile hufatilii mpira unakuwa mshamba mshamba hata kwa matukio madogo madogo.
 
Hahahahaha
 
Hahahahahahaha..kuna mtu hapo juu anadai yanga inaendeshwa na wahuni...kasahau kuwa ana uzi humu anawaita viongozi wa simba wahuni wajinga ..watanzania bhana
Kwa hiyo viongozi wa simba wakiwa wahuni viongozi wa uto hawawezi kuwa wahuni pia? We kweli uto.
 
Sasa ukim block anapungukiwa nini? watu wajinga mnajiona so special
 
Wewe mbwiga Miso misondo hawaku perform kwenye mechi ya Simba na Wydad? mbona unatumia nguvu nyingi tukuone huna akili timamu?
 
Ndio maana nikakuuliza hilo swali bwana Doctor

Imekuwaje kuwaje mpaka Mzize akapata huo ugonjwa kama hauambukizwi?
Biology ya form I hio wala hauhitaji kua Dr, kasome communicable diseases and non communicable diseases
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…