SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Kwa hiyo Azam wametupa taarifa potofu. Nani wa kulaumiwa katika hili?Hahahahahaha..kamisaa na refa wasingemuruhusu kucheza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Azam wametupa taarifa potofu. Nani wa kulaumiwa katika hili?Hahahahahaha..kamisaa na refa wasingemuruhusu kucheza
Mtangazaji kwani hawezi kukudanganya? Nauliza mpk anaingia uwanjani...kamisaa na refa wahajamuona...tufanye kweli Yanga haina dr..je kamisaa na refa au wao hawakagui macho kama yanaumwa au hayaumi ? Na vipi kama alikua katoka kupona...Kwa hiyo Azam wametupa taarifa potofu. Nani wa kulaumiwa katika hili?
Mbona unatumia nguvu kubwa kutafuta chaka la kutokea badala ya kuangalia ukweli shairi ulivyo ukitumia ushahidi wa picha na sauti uliopewa?Mtangazaji kwani hawezi kukudanganya? Nauliza mpk anaingia uwanjani...kamisaa na refa wahajamuona...tufanye kweli Yanga haina dr..je kamisaa na refa au wao hawakagui macho kama yanaumwa au hayaumi ? Na vipi kama alikua katoka kupona...
Hawa watangazji wa Azam wasiojua equatorial guinea, guinea bisau na guinea ?
Shabikia rede, mpira umekushinda. Yaani kama swala la Yanga kuwa mwenyeji kwenye mechi ya jana hulijui unapoteza muda wako kuulazimisha mchezo uliokushinda kuelewa. Na hata mechi ya Mapinduzi ile anatambulishwa Okrah, Yanga alikuwa ni mwenyeji. Unaweza kunipa sheria na kanuni iliyovunjwa na Yanga kwa kufanya lile tukio? Manchester united walishawahi kumtambulisha mchezaji uwanjani kama walivyofanya Yanga. Sio Manchester tu timu nyingine zimefanya hivyo mfano hata siku PSG wanamtambulisha Messi. Ila wewe kwavile hufatilii mpira unakuwa mshamba mshamba hata kwa matukio madogo madogo.Deportivo de Utopolo hakuwa mwenyeji wa mechi ya jana wala hakuwa mwenyeji wa mechi ile aliyotambulishwa Okrah kule Zanzibar.
Hata ukisema ufanye hivyo kwa kuwa ni mwenyeji kuna namna ya kufanya bila kuonekana kuwa ni shughuli binafsi ya klabu. Unadhani kwenye mechi ya CAF, Utopolo de Dar es Salaam kwa kuwa tu anacheza kwa Mkapa wanaweza kujiamulia wakati wa mapumziko kumshusha uwanjani MC Mboneke halafu wakazima taa za uwanjani ili kumtambulisha mlevi mmoja kama mchezaji wao mpya?
HahahahahaMbona unatumia nguvu kubwa kutafuta chaka la kutokea badala ya kuangalia ukweli shairi ulivyo ukitumia ushahidi wa picha na sauti uliopewa?
Kwa mambo yanayofanyika nchi hii kuanzia kwenye michezo hadi kwingine unadhani haiwezekani kwa mchezaji tena wa Deportivo de Utopolo kucheza katika hali hiyo bila mwamuzi wala Kamisaa kumzuia? Kama wanaweza kuzima taa uwanjani katika mechi ya mashindano na kuigeuza kama Sikukuu yao, watashindwa hili?
Usidhani nasema hivi kwa kuwa naona wengine ni malaika. Kuna siku Simba Queens walikuwa wanacheza nadhani ilikuwa ni mechi ya Ngao, kipa akapata mchubuko mkubwa hivi kwenye goti. Niliona daktari wa Simba akimuacha arudi kuendelea na mchezo bila kufunika kile kidonda.
Sasa kama hauambikizwi unaweza ukaelezea ulimpataje Mzize?Nani alikuambia Red ayes ni ungonjwa wa kuambukiza?
Kwa hiyo viongozi wa simba wakiwa wahuni viongozi wa uto hawawezi kuwa wahuni pia? We kweli uto.Hahahahahahaha..kuna mtu hapo juu anadai yanga inaendeshwa na wahuni...kasahau kuwa ana uzi humu anawaita viongozi wa simba wahuni wajinga ..watanzania bhana
Hahahahahaha..wote wahuni si ndio wanaiwata mbumbumbu...au wala mihogoKwa hiyo viongozi wa simba wakiwa wahuni viongozi wa uto hawawezi kuwa wahuni pia? We kweli uto.
Sasa ukim block anapungukiwa nini? watu wajinga mnajiona so specialMtangazaji wa AZAM TV anayejulikana ni shabiki lia lia wa Deportivo de Utopolo aliyasema maneno hayo katika matangazo ya mechi hiyo. Bila kumsikia yeye wala nisingejua haya. Inawezekana mlidhani ni sifa ndiyo maana kuna wengine wanajisifu pamoja na kuumwa bado amepiga hattrick. Kaeni chini mkubaliane mjibu nini kuhusu tuhuma hizi ndiyo mtujibu maana mnarukaruka tu kama maharage ya Mbeya.
Kwa kumalizia, ukiendelea kunitaja halafu unaandika maneno unayotoa matakoni badala ya kujibu hoja zangu, nitakublock na hautanisikia milele tena hata ujilize vipi.
Wewe mbwiga Miso misondo hawaku perform kwenye mechi ya Simba na Wydad? mbona unatumia nguvu nyingi tukuone huna akili timamu?Deportivo de Utopolo hakuwa mwenyeji wa mechi ya jana wala hakuwa mwenyeji wa mechi ile aliyotambulishwa Okrah kule Zanzibar.
Hata ukisema ufanye hivyo kwa kuwa ni mwenyeji kuna namna ya kufanya bila kuonekana kuwa ni shughuli binafsi ya klabu. Unadhani kwenye mechi ya CAF, Utopolo de Dar es Salaam kwa kuwa tu anacheza kwa Mkapa wanaweza kujiamulia wakati wa mapumziko kumshusha uwanjani MC Mboneke halafu wakazima taa za uwanjani ili kumtambulisha mlevi mmoja kama mchezaji wao mpya?
Na hiki ni kikundi cha nini?Yanga ni kikundi cha wahuni
Una uelewa wowote kuhusu magonjwa? tusije kuanzisha Bundesliga hapa!Sasa kama hauambikizwi unaweza ukaelezea ulimpataje Mzize?
Watu wenye red eyes naona mnateteana 😂
Ndio maana nikakuuliza hilo swali bwana DoctorUna uelewa wowote kuhusu magonjwa? tusije kuanzisha Bundesliga hapa!
Biology ya form I hio wala hauhitaji kua Dr, kasome communicable diseases and non communicable diseasesNdio maana nikakuuliza hilo swali bwana Doctor
Imekuwaje kuwaje mpaka Mzize akapata huo ugonjwa kama hauambukizwi?
Daah kwa bahati mbaya kumbe hawa jamaa nao hawajafika hata form 1 waweze kusoma biologyBiology ya form I hio wala hauhitaji kua Dr, kasome communicable diseases and non communicable diseases