Yanga haina hela ya kumsajili Luis,labda wauze figo za viongozi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20210819-170354_Chrome.jpg

Yanga wamezoea kuishi kwa propaganda kudanganya mashabiki. Kibaya zaidi nao hawana hata akili ya kushtuka. Walidanganywa sana kuhusu Chama, wakadanganywa kuhusu ubingwa VPL na FA. Leo hii bado wananogewa kudanganywa.

Japo Simba haijaweka wazi, lakini ni kwamba, Miquissone ameuzwa kwa Al Ahly kwa Dola 1,000,000 ambazo ni zaidi ya Sh2.3 bilioni na atakuwa akipokea mshahara wa Dola 34,000 kwa mwezi sawa na Sh80 milioni - pesa ambazo kwa msimu uliopita zingeweza kulipa mishahara ya kikosi chote cha Simba.

Nje ya mkwanja huo, pia imeelezwa Miquissone atakuwa anapewa Dola 20,000 (sawa na Sh46.3 milioni) kama bonasi ya kufanya manunuzi yeye na familia yake. Hapo bado hayajatajwa marupurupu mengine atakayoyapata akiwa ndani ya Al Ahly.

Sasa jiulize Yanga wanaweza kuvunja huo mkataba? Labda wauze figo za mashabiki, viongozi na wachezaji ndio wapate hela ya kuvunja mkataba
 
View attachment 1898264

..... Yani mikia fc bhanaaa, kutwa kucha mnakuja na habari za YANGA tuuu. Naona mnateseka sanaaaaa na bila kuandika kuhusu YANGA mnawashwa sanaaaaaaaa...
 
View attachment 1898264

Yanga wamezoea kuishi kwa propaganda kudanganya mashabiki. Kibaya zaidi nao hawana hata akili ya kushtuka. Walidanganywa sana kuhusu Chama, wakadanganywa kuhusu ubingwa VPL na FA. Leo hii bado wananogewa kudanganywa.

Japo Simba haijaweka wazi, lakini ni kwamba, Miquissone ameuzwa kwa Al Ahly kwa Dola 1,000,000 ambazo ni zaidi ya Sh2.3 bilioni na atakuwa akipokea mshahara wa Dola 34,000 kwa mwezi sawa na Sh80 milioni - pesa ambazo kwa msimu uliopita zingeweza kulipa mishahara ya kikosi chote cha Simba.

Nje ya mkwanja huo, pia imeelezwa Miquissone atakuwa anapewa Dola 20,000 (sawa na Sh46.3 milioni) kama bonasi ya kufanya manunuzi yeye na familia yake. Hapo bado hayajatajwa marupurupu mengine atakayoyapata akiwa ndani ya Al Ahly.

Sasa jiulize Yanga wanaweza kuvunja huo mkataba? Labda wauze figo za mashabiki, viongozi na wachezaji ndio wapate hela ya kuvunja mkataba
Yanga sijui inawachukuliaje washabiki wake
 
Mbeya kama Mwanamke wa kizaramo.Yanga inawauma sana kila ukilala na kuamka unawaza kuizungumzia Yanga tu.Hilooooooooooo
 
Hivi Kitenge na lile genge la wauza sura wenzake pale E FM wanapata faida gani kuleta uzushi kila siku? Naanza kuamini zile tetesi kuwa GSM ameinunua E FM radio.
Kama ni uzushi, ni kuupuza sasa unapoandika thread inamaana unahisi kunaukweli ndani yake.
 
Dah nimecheka sana, eti wauze Figo za viongozi .. hahahahah [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom