ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Yanga ndo Giant football in Tanzania
Kamwe Yanga haiwezi kuihofia Simba dhaifu inayocheza mashindano dhaifu ya shirikisho
Yanga watacheza na Simba kwenye CRDB confederation cup endapo majariwa, tunaomba tu Simba wafuzu tukutane final
Chonde chonde 5imba msije kukimbia kama mlivokumbia derby
Sababu za kwanini Yanga haihofii Simba
1.Yanga amemfunga Simba mara nne mfululizo na hii mechi ana uweZo wa kumfunga tena
2 Yanga amemfunga 5imba goli 5 ambazo ni nyingi
3 Yanga ndo bingwa mtetezi wa NBC PL
4 Yanga amecheza mashindano makubwa msimu huu.
Tofauti na Simba aliyecheza mashindano dhaifu ya shirikisho yaani UMISETA au netball au mashindano ya akina mama ambayo huko kipimo ni timu ndogo
5 Yanga anaongoza ligi ya NBC PL
6 Yanga amekuwa bingwa mara 3 mfululizo
7. Yanga ina wachezaji wazuri
Wachezaji Bora wapo Yanga
Goal keeper kama Diara Simba Hawana
Angalia mabeki, viungo,na strikers
Yaani Yanga wana cream ya wachezaji
8 Yanga ndo bingwa wa FA mara 2 mfululizo