Yanga haina sababu ya kuhofia Simba, Nia ni kuondoa uhuni pale TFF

Ila yanga amechukua ubingwa mara tatu chini ya karia na bodi ya league so uhuni umeanza huu mwaka ? Kama uhuni ulikuepo means hata nyie yanga mlinufaika nao ...sawa Kuna uhuni mbona game nyingine za league mnacheza ? Chini ya bodi hyhy ya league
 
Yanga amefanyiwa uhuni Toka Karia aingie madarani
 
Nataka ukanushe kama Simba hajafungwa mara 4 mfululizo kwenye mechi nne zilizopita
Simba imeshinda mechi zote nne zilizopita za ligi. Ukisema katika mashindano yote, kashinda 3 na katoa sare moja na Stellenbosch. Kwa hiyo nakanusha vikali hiko ulichosema.
 
Kumbe wewe ni chizi
 
Napokea huu mbaraka. Na yakatimie maneno yako, siku moja niteuliwe kuwa balozi nikawawakilishe nyie vingunguti wa nchi hii.
Uwakilishe mambumbumbu wa Rage
 
Back
Top Bottom