Yanga haina sababu ya kuhofia Simba, Nia ni kuondoa uhuni pale TFF

Yanga haina sababu ya kuhofia Simba, Nia ni kuondoa uhuni pale TFF

Maarifa na uelewa wa mtu ni jambo ambalo halijifichi
Tuweke utani pembeni, sasa wewe una uelewa gani, mzee wa kombe la UMISETA, yaani kombe la kina mama, yaani netball. Ukipost chochote Jamii Forums inalia zzzzzzzz!!!
 
Tuweke utani pembeni, sasa wewe una uelewa gani, mzee wa kombe la UMISETA, yaani kombe la kina mama, yaani netball. Ukipost chochote Jamii Forums inalia zzzzzzzz!!!
Ukibahatika kupata hata robo ya akili zangu utabadilisha mtazamo
 
Yanga ndo Giant football in Tanzania
Kamwe Yanga haiwezi kuihofia Simba dhaifu inayocheza mashindano dhaifu ya shirikisho

Yanga watacheza na Simba kwenye CRDB confederation cup endapo majariwa, tunaomba tu Simba wafuzu tukutane final

Chonde chonde 5imba msije kukimbia kama mlivokumbia derby

Sababu za kwanini Yanga haihofii Simba

1.Yanga amemfunga Simba mara nne mfululizo na hii mechi ana uweZo wa kumfunga tena

2 Yanga amemfunga 5imba goli 5 ambazo ni nyingi

3 Yanga ndo bingwa mtetezi wa NBC PL

4 Yanga amecheza mashindano makubwa msimu huu.
Tofauti na Simba aliyecheza mashindano dhaifu ya shirikisho yaani UMISETA au netball au mashindano ya akina mama ambayo huko kipimo ni timu ndogo

5 Yanga anaongoza ligi ya NBC PL

6 Yanga amekuwa bingwa mara 3 mfululizo

7. Yanga ina wachezaji wazuri
Wachezaji Bora wapo Yanga
Goal keeper kama Diara Simba Hawana

Angalia mabeki, viungo,na strikers
Yaani Yanga wana cream ya wachezaji

8 Yanga ndo bingwa wa FA mara 2 mfululizo
Mbona kama umekasikika usilete makasiliko mzee ongea fact njooni uwanjani kipigwe weunataka point za mezani za nini hebutoa sababu za Nyinyi kutocheza na zakutaka point za mezani
 
Mbona kama umekasikika usilete makasiliko mzee ongea fact njooni uwanjani kipigwe weunataka point za mezani za nini hebutoa sababu za Nyinyi kutocheza na zakutaka point za mezani
Ratiba ilikuwa march 8
Yanga hatuna muda wa kupoteza
 
1746778960868.jpg
 
Back
Top Bottom