Takwimu kila mtu anaweza kuzitumia anavyotaka yeye. Wewe umechagua kuhesabu nje ya ligi, mimi nimetumia takwimu za ligi pekee na tena nimeenda kwa mechi 7!Kwani Simba na Yanga wamekutana ligi kuu pekee?
Mbona mnatulazimisha tuwadharau
Katika hizo mechi 7 wewe Simba umeshinda ngapi?Takwimu kila mtu anaweza kuzitumia anavyotaka yeye. Wewe umechagua kuhesabu nje ya ligi, mimi nimetumia takwimu za ligi pekee na tena nimeenda kwa mechi 7!
Kuna kipindi mwaka jana mlikuwa mnatamba hivi hivi na hamkuwa mnataka kujumuisha matokeo ya ngao na hapo kulikuwa kuna sare kibao katikati ila kelele zenu sasa!
Wakati ule hamkutaka kuhesabu matokeo ya ngao, leo mnalazimisha zihesabiwe ili tu mkojoe.
Kabla sijakujibu kubali kuwa takwimu zenu ni za uongoKatika hizo mechi 7 wewe Simba umeshinda ngapi?
Suluhu ngapi?
Takwimu gani za uongo?Kabla sijakujibu kubali kuwa takwimu zenu ni za uongo
Ni fact pia kuwa katika mechi 7 za mwisho za ligi dhidi ya Simba, Yanga imeshinda mechi 3 tuTakwimu gani za uongo?
Regardless of the type of competition kwenye mechi nne za mwiso ambazo simba na yanga wamekutana Yanga ameshinda zote nne.
This is fact.
We umeshinda ngapi?Ni fact pia kuwa katika mechi 7 za mwisho za ligi dhidi ya Simba, Yanga imeshinda mechi 3 tu
Hapo hawajaweka mechi ya tarehe 19 OctoberTakwimu kila mtu anaweza kuzitumia anavyotaka yeye. Wewe umechagua kuhesabu nje ya ligi, mimi nimetumia takwimu za ligi pekee na tena nimeenda kwa mechi 7!
Kuna kipindi mwaka jana mlikuwa mnatamba hivi hivi na hamkuwa mnataka kujumuisha matokeo ya ngao na hapo kulikuwa kuna sare kibao katikati ila kelele zenu sasa!
Wakati ule hamkutaka kuhesabu matokeo ya ngao, leo mnalazimisha zihesabiwe ili tu mkojoe.
Unaendelea kutumia mbinu ile ile ya kujichagulia muda na aina ya mashindano ili upate takwimu zinazokupendeza wewe. Kwa nini umeanzia 2020?Hapo hawajaweka mechi ya tarehe 19 October
Ambapo Kijili alifanya jambo la maana sanaView attachment 3328906
Nataka ukanushe kama Simba hajafungwa mara 4 mfululizo kwenye mechi nne zilizopitaUnaendelea kutumia mbinu ile ile ya kujichagulia muda na aina ya mashindano ili upate takwimu zinazokupendeza wewe. Kwa nini umeanzia 2020?
Kuanzia 2014-2019, takwimu zinasema Simba alishinda 4, Yanga ilishinda 2, Draw 5. Hapo vipi?
Ina maana ukisema uchukue takwimu za 2014-2024, utapata picha tofauti na hiyo unayoitengeneza wewe.