Yanga haina sababu ya kuhofia Simba, Nia ni kuondoa uhuni pale TFF

Maarifa na uelewa wa mtu ni jambo ambalo halijifichi
Tuweke utani pembeni, sasa wewe una uelewa gani, mzee wa kombe la UMISETA, yaani kombe la kina mama, yaani netball. Ukipost chochote Jamii Forums inalia zzzzzzzz!!!
 
Tuweke utani pembeni, sasa wewe una uelewa gani, mzee wa kombe la UMISETA, yaani kombe la kina mama, yaani netball. Ukipost chochote Jamii Forums inalia zzzzzzzz!!!
Ukibahatika kupata hata robo ya akili zangu utabadilisha mtazamo
 
Nikiwa na akili zako zote achilia tu robo nitakualifai kuwa Mirembe
πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜€We mtoto unaamua kunitusi Mimi baba ako
Kuwa na adabu japo kidogo
 
Mbona kama umekasikika usilete makasiliko mzee ongea fact njooni uwanjani kipigwe weunataka point za mezani za nini hebutoa sababu za Nyinyi kutocheza na zakutaka point za mezani
 
Mbona kama umekasikika usilete makasiliko mzee ongea fact njooni uwanjani kipigwe weunataka point za mezani za nini hebutoa sababu za Nyinyi kutocheza na zakutaka point za mezani
Ratiba ilikuwa march 8
Yanga hatuna muda wa kupoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…