Yanga hakuchukua ubingwa (1985, 1989,1992,1993 na 1998) Wametuchomekea kwenye orodha yao

Yanga hakuchukua ubingwa (1985, 1989,1992,1993 na 1998) Wametuchomekea kwenye orodha yao

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Wanayanga wanajitapa kuchukua ubingwa mara 27 huku wakituchomekea miaka 1985 1989,1992,1993 na 1998. Miaka hiyo timu zilichochukua ubingwa eidha zikekufa au hazina nguvu tena.

Kwa uhalisia yanga yupo na ubingwa mara 22 sawa na simba(ubingwa wa ligi kuu)

Yanga kwa sasa hawana kichaka cha kujificha.
Screenshot_20220115-185247.png
 
Wanayanga wanajitapa kuchukua ubingwa mara 27 huku wakituchomekea miaka 1985 1989,1992,1993 na 1998. Miaka hiyo timu zilichochukua ubingwa eidha zikekufa au hazina nguvu tena...
Kama wamechomekea nawewe unaona ni uongo hawakuchukua, basi ndio nafasi yako kutuwekea usahihi kwa kutaja majina ya timu zilizochukua miaka hiyo tajwa
 
L
Wanayanga wanajitapa kuchukua ubingwa mara 27 huku wakituchomekea miaka 1985 1989,1992,1993 na 1998. Miaka hiyo timu zilichochukua ubingwa eidha zikekufa au hazina nguvu tena...
Leta ukweli wako sasa hiyo miaka alichukua nani?
 
Ndugu Takwimu, Tueleze Hiyo Miaka Alichukua Nani?
Pitia hapa kidogo
 
Rahisi sana kuiongoza utopolo maana mashabiki yake yanadanganyika kirahisi.
 
Naomba ufunge uzi wako kwa kututajia majina ya timu iliyochukua mwaka 1985, 1989, 1992, 1993 na 1998
Sitaki kukutafunilia kila kitu. Unaweza kupitia hapa:-
 
Back
Top Bottom