changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Hapo ndipo kwenye hoja1985 Ubingwa Bara - Yanga
Ubingwa Tanzania- Majimaji ya Songea
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Ukiangalia miaka hiyo mitano ambayo mleta uzi kazianisha ni kwamba Yanga alikuwa ni bingwa wa Tanzania bara na hakuwa bingwa wa ligi ya Muungano.
Mwaka 1985 na 1998 bingwa wa ligi ya Muungano alikuwa ni Maji Maji lakini Bingwa wa ligi kuu Tanzania bara alikuwa ni Yanga.