Yanga hakuchukua ubingwa (1985, 1989,1992,1993 na 1998) Wametuchomekea kwenye orodha yao

Rahisi sana kuiongoza utopolo maana mashabiki yake yanadanganyika kirahisi.
Makolo ndiyo hudanganyika kirahisi hadi Aden Rage aliyaita mbumbumbu.

Usisahau mliaminishwa na Manara kuwa ninyi ni kiwango cha Barca hatimaye mlipigwa hamsa hamsa hadi mliufyata.
 
Sitaki kukutafunilia kila kitu. Unaweza kupitia hapa:-
Kwanza usichsnganye kati ya ligi kuu bara na ligi ya muungano. Hapo huyo Kmkm anaingia kwenye ligi ya muungano na sio ligi kuu ya Tanzania. Na Yanga wanasema ni bingwa wa ligi kuu mara 27 na sio ligi kuu na muungano.

Jielimishe kwanza ujue ligi ya muungano ilikuwaje. Kumbe unaokota okota vitu bila kutumia akili zako

Makolo ndiyo hudanganyika kirahisi hadi Aden Rage aliyaita mbumbumbu.

Usisahau mliaminishwa na Manara kuwa ninyi ni kiwango cha Barca hatimaye mlipigwa hamsa hamsa hadi mliufyata.
Shabiki maandazi ni hivi kipindi timu lenu linashiriki kimataifa nyinyi mashabiki wa utopolo mlikuwa mnafurahia tu timu yenu kupanda ndege mpaka akina Gormahia aliwapiga 4G.

Msimu huu mmeendeleza kutojitambua baada ya nyinyi mashabiki na viongozi wenu kuliona tamasha la siku ya mwananchi ni muhimu kuliko mechi ya klabu bingwa .
 
Mzee nenda kachimbe. Nilichokiandika ni ukweli mtupu.
Kwanza umeshapata funzo kuhusu ligi ya muungano? Ukipata elimu ya ligi ya muungano itakupa mwanga sana kujua Yanga ni mabingwa mara 27 kwenye ligi ipi. Maana unachanganya kati ya bingwa wa ligi kuu ya Tanzania na ligi ya Muungano
 
Kwanza umeshapata funzo kuhusu ligi ya muungano? Ukipata elimu ya muungano itakupa mwanga sana kujua Yanga ni mabingwa mara 27 kwenye ligi ipi. Maana unachanganya kati ya bingwa wa ligi kuu ya Tanzania na ligi ya Muungano
Mzee wewe huwezi kuniambia kitu chochote. Yanga wenyewe wameweka 22. Wewe tembelea website yao. Title wameandika 27 lakini details 22.
Screenshot_20220115-185247.png
 
Pia unasema pitia historia ya ligi kuu

Mzee hivi unataka kunifundisha kitu ninachokijua!? Nimeitaja hiyo miaka kwa sababu kuna mtu anapotosha. Niambie hiyo miaka Yanga alishinda mashindano yapi. Hapazee tunaongelea premier league. Yaani the top league mzee.
 
Kwanza usichsnganye kati ya ligi kuu bara na ligi ya muungano. Hapo huyo Kmkm anaingia kwenye ligi ya muungano na sio ligi kuu ya Tanzania. Na Yanga wanasema ni bingwa wa ligi kuu mara 27 na sio ligi kuu na muungano.

Jielimishe kwanza ujue ligi ya muungano ilikuwaje. Kumbe unaokota okota vitu bila kutumia akili zako

Mzee unajua maana ya Premier League!?
 
Mzee wewe huwezi kuniambia kitu chochote. Yanga wenyewe wameweka 22. Wewe tembelea website yao. Title wameandika 27 lakini details 22.
View attachment 2082715
Je hapo kwenye title wameandika washindi mara 22? Cha kwanza jifunze kutafuta ukweli badala ya kukaza shingo kubishana. Mwaka 1998 ulioweka wewe kuwa Yanga hakuchukua ubingwa sio hata muda mrefu sana kiasi kwamba ukashindwa kupata record zake ni nani aliyekuwa bingwa. Tusiende mbali mkuu tuanzie mwaka 1998 ambao ukiangalia hapo kwenye attachment yako ni kwamba Yanga hawakuweka. Naomba nijie na jibu ni nani alikuwa bingwa wa ligi kuu Tanzania bara. Sio nani alikuwa bingwa wa ligi ya muungano, hapana nataka katafute kwenye kila aina ya source unayojua wewe halafu unaniambie bingwa wa Tanzania bara mwaka 1998 alikuwa ni nani.

Twende kwa fact sasa toka kule kwenye u Facebook njoo ki jamii forum sasa. Twende kwa hoja
 
Mzee sitaki niende mbali wapi yanga wametaja walikuwa bingwa mwaka 1998!? Nimekupatia source kutoka website ya yanga mbona hutaki kujishughulisha!? Ingia kwenye website ya yanga wameweka makombe yao yote.
Mwaka 1998 mshidi alikuwa Maji Maji kutoka Songea.

akikujibu naomba nistue
 
Mzee sitaki niende mbali wapi yanga wametaja walikuwa bingwa mwaka 1998!? Nimekupatia source kutoka website ya yanga mbona hutaki kujishughulisha!? Ingia kwenye website ya yanga wameweka makombe yao yote.
View attachment 2082738
ebwana Scars na rodrick alexander mfundisheni mwanamsimbazi mwenzenu kujifunza kujibu kwa hoja na sio kukimbia hoja. Anawaibisha huku
 
@Scars na rodrick alexander mfundisheni mwanamsimbazi mwenzenu kujifunza kujibu kwa hoja na sio kukimbia hoja. Anawaibisha huku
Usitafute chaka la kujificha mwanangu. Nimekuambia 1998 mshindi alikuwa Maji Maji FC toka Songea. Usinichukulie poa. Pitia threads zangu zote ni za akili.

Kabla ya kuweka kitu huwa nafanya utafiti kwanza.
 
Maji maji alikuwa ni bingwa wa ligi la muungano. Ndio maana nakwambia unachanganya mambo
Mzee unajua maana ya premier league!?
Yanga wenyewe hawajaweka kwenye website yao. Unabishana nini sasa. Nikikuita mpumbavu nitakuwa nimekosea!?
Nimekupatia information kutoka kwenye website ya Yanga wewe unakuja kupiga kelele kijinga. Hiyo record umeitoa wapi!?
Information nimezitoa hapa:-
Screenshot_20220115-185247.png
 
Back
Top Bottom