Yanga hakuchukua ubingwa (1985, 1989,1992,1993 na 1998) Wametuchomekea kwenye orodha yao

Mzee unajua maana ya premier league!?
Yanga wenyewe hawajaweka kwenye website yao. Unabishana nini sasa. Nikikuita mpumbavu nitakuwa nimekosea!?
Nimekupatia information kutoka kwenye website ya Yanga wewe unakuja kupiga kelele kijinga. Hiyo record umeitoa wapi!?
Information nimezitoa hapa:-
View attachment 2082747
Haya embu nipe maana ya priemier league mimi sijui.
1) Nieleweshe premier league maaanake nini?

2) mfumo wa ligi ya muungano ulikuwaje?
 
Wanayanga wanajitapa kuchukua ubingwa mara 27 huku wakituchomekea miaka 1985 1989,1992,1993 na 1998. Miaka hiyo timu zilichochukua ubingwa eidha zikekufa au hazina nguvu tena.

Kwa uhalisia yanga yupo na ubingwa mara 22 sawa na simba(ubingwa wa ligi kuu)

Yanga kwa sasa hawana kichaka cha kujificha.
View attachment 2082605
Usichojua ni kwamba baadhi ya miaka uliyotaja wwnuine tulikiwa vijana kabisa tunaojua yunachofanya. Ligi miaka hiyo ilikuwa inaanza mwanzoni mwa mwaka na kuisha mwaka huohuo. Kwa hiyo Acha kuhangaika na takwimu za uongo. Nachukia upoyoshaji.
 
Wanayanga wanajitapa kuchukua ubingwa mara 27 huku wakituchomekea miaka 1985 1989,1992,1993 na 1998. Miaka hiyo timu zilichochukua ubingwa eidha zikekufa au hazina nguvu tena.

Kwa uhalisia yanga yupo na ubingwa mara 22 sawa na simba(ubingwa wa ligi kuu)

Yanga kwa sasa hawana kichaka cha kujificha.
View attachment 2082605
Mbona no 22
 
Haya embu nipe maana ya priemier league mimi sijui.
1) Nieleweshe premier league maaanake nini?

2) mfumo wa ligi ya muungano ulikuwaje?
Unataka mimi nianze kukufundisha maana ya premier league!!!? Mtu hujui maana ya premier league unachobisha ni nini?
Nimekuwekea source kutoka website ya yanga, je huiamini hiyo source!?
Haya leta sasa source yako ikisema yanga alikuwa bingwa miaka niliyoitaja. Mbona unapiga porojo tu!?
 
Ndio maana nakwambia hujui kujibu hoja unachojua kushupqza shingo. Umejua kabisa unaumbukia wapi. Ungejubu hayo maswali mawili tulikuwa tunahitamatisha uzi wako. Na ndio maana nikachagua mwaka huo 1998 ambao ni wa karibu kuliko yote. Niambie mfumo wa ligi ya Muungano ulikuwaje?
 
Usichanganye kati ya bingwa wa ligi kuu bara na bingwa wa ligi ya Muungano. Haya njoo na tafsiri na tafsiri yako ya premier. View attachment 2082779
IMG_20220115_215318.jpg
 
Ila wakongwe watueleze hio 27 na hapo premier wanasema ni 22
Screenshot_20220115-215350.jpg
 
Ndio maana nakwambia hujui kujibu hoja unachojua kushupqza shingo. Umejua kabisa unaumbukia wapi. Ungejubu hayo maswali mawili tulikuwa tunahitamatisha uzi wako. Na ndio maana nikachagua mwaka huo 1998 ambao ni wa karibu kuliko yote. Niambie mfumo wa ligi ya Muungano ulikuwaje?
Usichanganye bingwa wa ligi kuu bara na bingwa wa ligi ya muungano
IMG_20220115_214904.jpg
 
Wanayanga wanajitapa kuchukua ubingwa mara 27 huku wakituchomekea miaka 1985 1989,1992,1993 na 1998. Miaka hiyo timu zilichochukua ubingwa eidha zikekufa au hazina nguvu tena.

Kwa uhalisia yanga yupo na ubingwa mara 22 sawa na simba(ubingwa wa ligi kuu)

Yanga kwa sasa hawana kichaka cha kujificha.
View attachment 2082605
Kuna miaka miwili mfululizo Simba ilinusurika kushuka Daraja. Kuna mchezo mmoja nadhani na Pamba ya Mwanza imewahi kuchukua ubingwa kipindi hicho. Kuna hiyo Miaka African Sport wana kimanumanu nao walibeba ndoo. Pia miaka hiyo kuna Tukuyu Stars ya Mbeya. Hapo kuna uongo mkubwa kwa Yanga.
 
Ukitaka kujua kuwa Watanzania ni wavivu kujifunza ,ni kupitia Uzi huu!
Yaani mtu anatukuza Ushabiki bila kuwa na Taarifa sahihi!
Kuwa mshabiki SI lazima muda wote utetee Timu yako ...bila haya kuwa naTaarifa sahihi!
Tujenge Utamaduni was kujielimisha!
Nyie mashabiki lialia was Simba na Yanga ...someni Historia Soka Tanzania acheni kujivua nguo hapa
 
Website ya Yanya inaonesha wamechukua Ubingwa mara 27.

Lakini miaka waliyochukua ubingwa wameweka miaka 22.

Sasa hapo ndipo mleta mada anauliza.
Huo mkanganyiko umefikiwa vipi ?

Ipo wapi miaka 27 ambayo Yanga anajinadi kachukua Ubingwa.

Na kwanini kwenye Website yao hawajaiweka ?

Hapa hapahitaji naneno panahitaji ushahidi kama aliouandika mtoa mada.
Mnaojua hebu bandikeni hizo takwimu hapa.
 
Upo sahihi wanaoijua vizuri historia ya Yanga waweke hiyo miaka mitano (5) ambayo imesahaulika au haikuwekwa kwenye website yao tujiridhishe kwa kuweka ushahidi.
 
Mzee unajua maana ya premier league!?
Yanga wenyewe hawajaweka kwenye website yao. Unabishana nini sasa. Nikikuita mpumbavu nitakuwa nimekosea!?
Nimekupatia information kutoka kwenye website ya Yanga wewe unakuja kupiga kelele kijinga. Hiyo record umeitoa wapi!?
Information nimezitoa hapa:-
View attachment 2082747
Nadhani hapa hiyo miaka 5 ni ya Ubingwa wa Tanzania Bara.
1983, 1985, 1987, 1989 na 1991

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom