Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Kama wamechomekea nawewe unaona ni uongo hawakuchukua, basi ndio nafasi yako kutuwekea usahihi kwa kutaja majina ya timu zilizochukua miaka hiyo tajwaWanayanga wanajitapa kuchukua ubingwa mara 27 huku wakituchomekea miaka 1985 1989,1992,1993 na 1998. Miaka hiyo timu zilichochukua ubingwa eidha zikekufa au hazina nguvu tena...
Weka hapa mwaka aliochukua maji majiKuna mwaka hapo alichukua Majimaji au Asipochukua Simba basi inahesabika amechukua Yanga?
Sasa hii hapa ni website ya yanga wanasema wameshinda mara 27 lakini ukihesabu ni 22. Sasa tuseme ni ujinga au nini!?Weka hapa mwaka aliochukua maji maji
Leta ukweli wako sasa hiyo miaka alichukua nani?Wanayanga wanajitapa kuchukua ubingwa mara 27 huku wakituchomekea miaka 1985 1989,1992,1993 na 1998. Miaka hiyo timu zilichochukua ubingwa eidha zikekufa au hazina nguvu tena...
Hahahahahah!! Leo mtajikojoleaL
Leta ukweli wako sasa hiyo miaka alichukua nani?
Pitia hapa kidogoNdugu Takwimu, Tueleze Hiyo Miaka Alichukua Nani?
Huyo Amin Nyaungo ndiyo source yako ya uhakika zaidi ya Yanga website!?
Ndiyo,unalingineHuyo Amin Nyaungo ndiyo source yako ya uhakika zaidi ya Yanga website!?
View attachment 2082636
Naomba ufunge uzi wako kwa kututajia majina ya timu iliyochukua mwaka 1985, 1989, 1992, 1993 na 1998Huyo Amin Nyaungo ndiyo source yako ya uhakika zaidi ya Yanga website!?
View attachment 2082636
Unaweza kunieleza kwanini yanga wameandika kwenye title 27 lakini kwenye details ni 22!?Ndiyo,unalingine
Sitaki kukutafunilia kila kitu. Unaweza kupitia hapa:-Naomba ufunge uzi wako kwa kututajia majina ya timu iliyochukua mwaka 1985, 1989, 1992, 1993 na 1998