Hapo ndipo kwenye hoja1985 Ubingwa Bara - Yanga
Ubingwa Tanzania- Majimaji ya Songea
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Huyo nimemuelewesha tokea jana lakini nimegundua ni mtu asiyependa kujifunza, kwa kujibishana kwa hoja.Nadhani hapa hiyo miaka 5 ni ya Ubingwa wa Tanzania Bara.
1983, 1985, 1987, 1989 na 199.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Unajua maana ya premier league!?Huyo nimemuelewesha tokea jana lakini nimegundua ni mtu asiyependa kujifunza, kwa kujibishana kwa hoja.
Hana lolote zaidi ya DONGEAisee umejua kukomaa nao
Premier league ni kingereza. Kiswahili chake ni ligi kuuUnajua maana ya premier league!?
View attachment 2083560
Sasa Ligi kuu ya Tanzania. Unajua TFF imeanza mwaka gani!?Premier league ni kingereza. Kiswahili chake ni ligi kuu
Mwaka 2004.Sasa Ligi kuu ya Tanzania. Unajua TFF imeanza mwaka gani!?
View attachment 2083725
Kabla 1997 premier league ilikuwa inahusisha timu zipi!?Mwaka 2004.
Naanza kukutoa tongo tongo sasa.Mwaka 2004.
Kwanza tuwekane sawa, unazungumzia premier league ya upande upi?Kabla 1997 premier league ilikuwa inahusisha timu zipi!?
Sasa ngoja nikufundishe kitu. Ndio maana unahangaika sana. Ninajaribu kukupa ndo ndo bado huelewi.Kwanza tuwekane sawa, unazungumzia premier league ya upande upi?
Kama unazungumzia Tanzania bara ni kwamba premier league iilihusisha timu za kutoka Tanzania bara. Kama unazungumzia ligi ya Zanzibar basi ilihusisha timu za kutoka Zanzibar.
N.B
Kwenye vitu vya Muungano na visivyo vya Muungano, michezo ni moja ya vitu ambavyo havipo kwenye muungano. Na ndio maana baadae ikaanzishwa ligi ya muungano, kwavile Zanzibar hakuwa mwanachama wa CAF.
Ndio maana nimekuuliza TFF ilianza lini!? Na ilianza kwa sheria ya bunge au walijiamulia wenyewe!? Fatilia kabla ya TFF mpira Tanzania uliendeshwaje.Kwanza tuwekane sawa, unazungumzia premier league ya upande upi?
Kama unazungumzia Tanzania bara ni kwamba premier league iilihusisha timu za kutoka Tanzania bara. Kama unazungumzia ligi ya Zanzibar basi ilihusisha timu za kutoka Zanzibar.
N.B
Kwenye vitu vya Muungano na visivyo vya Muungano, michezo ni moja ya vitu ambavyo havipo kwenye muungano. Na ndio maana baadae ikaanzishwa ligi ya muungano, kwavile Zanzibar hakuwa mwanachama wa CAF.
Sawa sawaKwa maana ya bingwa wa ligi ya Tanzania bara na wa pili + bingwa wa ligi ya Zanzibar na wa pili yake. Si ndivyo?
We kweli 1 2 7 7 aka mtambo.Unataka mimi nianze kukufundisha maana ya premier league!!!? Mtu hujui maana ya premier league unachobisha ni nini?
Nimekuwekea source kutoka website ya yanga, je huiamini hiyo source!?
Haya leta sasa source yako ikisema yanga alikuwa bingwa miaka niliyoitaja. Mbona unapiga porojo tu!?
Hivi wale walioitwa Mbumbumbu na Rage ni kina nani?! Watu wajinga hadi kiongozi wao anawadharau[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Utopolo hawajawahi kujielewa kuanzia viongozi hadi shabiki
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Basi yanga ni mabingwa wa tanganyika mara 22,na hawakuwahi kuwa mabingwa wa TanzaniaKwanza usichsnganye kati ya ligi kuu bara na ligi ya muungano. Hapo huyo Kmkm anaingia kwenye ligi ya muungano na sio ligi kuu ya Tanzania. Na Yanga wanasema ni bingwa wa ligi kuu mara 27 na sio ligi kuu na muungano.
Jielimishe kwanza ujue ligi ya muungano ilikuwaje. Kumbe unaokota okota vitu bila kutumia akili zako
MIAKA 21 YA LIGI YA MUUNGANO. MIAKA 15 BILA LIGI YA MUUNGANO
NA PASCAL KABOMBE Ligi ya Muungano ilianza rasmi mwaka 1982 lengo ni kudumisha Muungano wetu na kutoa usawa wa kiuwakilishi katika mich...saidallymwandike.blogspot.com
Naona Venus Star, anahoja na kabla ya kuweka uzi wake hapa alijiridhisha na taarifa juu ya hoja yake.Ukitaka kujua kuwa Watanzania ni wavivu kujifunza ,ni kupitia Uzi huu!
Yaani mtu anatukuza Ushabiki bila kuwa na Taarifa sahihi!
Kuwa mshabiki SI lazima muda wote utetee Timu yako ...bila haya kuwa naTaarifa sahihi!
Tujenge Utamaduni was kujielimisha!
Nyie mashabiki lialia was Simba na Yanga ...someni Historia Soka Tanzania acheni kujivua nguo hapa
Huwa wanajinasibu kuwa ni mabingwa wa Tanzania bara mara 27. Sasa mleta uzi aje aseme hiyo miaka aliyoiweka hapo ni timu gani zilizochukua ubingwa wa Tanzania bara.Basi yanga ni mabingwa wa tanganyika mara 22,na hawakuwahi kuwa mabingwa wa Tanzania
Kwanzia mwaka 1982 kulikuwa na ligi ya Tanzania bara, ligi ya Zanzibar na ligi ya Muungano. Top three kutoka ligi ya Tanzania bara wanakutana na top three ya ligi ya Zanzibar katika ligi ya muungano. Hivyo mwaka 1985, 1989, 1992, 1993, 1998 Yanga alikuwa bingwa wa ligi Tanzania bara, ila ubingwa wa ligi ya Muungano ilichukuliwa na timu nyingine mfano maji maji mwaka 1985, 1998Naona Venus Star, anahoja na kabla ya kuweka uzi wake hapa alijiridhisha na taarifa juu ya hoja yake.
Na kimsingi, Watu wanashindwa kumjibu hoja yake, kwanini kwenye official website Yanga wameandika wamechukua kombe la ligu kuu mara 27, lakini ukihesabu miaka haifiki idadi ya 27.