Yanga hatofuzu kwenda makundi, naiona draw kwa Mkapa

Sijui ni kwanini Simba mmechanganyikiwa sana na issue za Yanga. Mmekosa utulivu kabisa
Mtu katoa maoni yake unasema Simba.
Sasa Simba inachanganyikiwaje na ilishapita hatua inayofata kwenye mashindano inayocheza?
 
Uyo mazembe unayesema ni mbovu hao Mc alger walimfunga goli ngapi kwao? Wamemfunga kwa mbinde kwa goli la penalty ya mchongo toka kwa mwamuzi Tena wakiwa kwao Algeria vinginevyo wasingetoka kwa mazembe,,alafu unaposema Al hilal walitengeneza nafasi kwani yanga wao walitengeneza nafasi ngapi za hatari? Uliangalia Mpira ama ulisimuliwa? Mihemko ya kishabiki mda mwingine ni ya ovyo sana kaangalie takwimu sio porojo zako hizo
 
Mashabiki wa simba wanaumia sana kwa hiki Yanga wanachofanya baada ya Yanga kufungwa mechi mbili za mwanzoni walijua kabisa Yanga ndo safari imeishia pale kuona Yanga leo ana-point 7 na ananafasi ya kufuzu wanaumia sana
 
Ilimradi tu nae kaanzisha uzi. Anachokieleza wala hakielewi
 
Kama yanga kamfunga al hilal ugenini,sihitaji kuongea sana,tusubir tu hyo mechi ya mwisho
 
Watu wanaoelezea wasichokielewa tena comfortably ni wa kuwapuuza tu mkuu. Kaeleza as if mpira aliangalia peke yake then kaja kutuelezea humu
 
Ukiangalia zile timu za shirikisho ni kichekesho ndo maana yanga alifika fainal bravo na ili timu ya tunisia wote wako nafasi ya nane kwenye ligi za kwao
Ila kuna malipo mazuri tu kila unapovuka hatua moja kwenda nyingine.
 
Mtu katoa maoni yake unasema Simba.
Sasa Simba inachanganyikiwaje na ilishapita hatua inayofata kwenye mashindano inayocheza?
thibitisha kama mleta mada si shabiki wa SIMBA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…