mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,396
Sisi ndio wananchi, tuna nguvu na ushawishi na tupo wengi kuliko hata takwimu za wananchama wa CCM na Chadema Kwa pamoja.
Kiuhalisia wingi wetu sisi yanga ndio unaamua nani awe Rais wa Nchi hii, panapokuwa na uchaguzi huru na WA haki.
Tunajua madudu ya Bodi ya Ligi na madudu ya Marefa yanavyopendelea timu ya Simba.
Sasa msimamo wetu yanga sisi hatuchezi Derby, na hakuna kitu TFF utafanya, na hatuchezi kwakuwa hatuna Imani na bodi ya Ligi na marefa wake kwakuwa wanawapendelea Simba. Hatutacheza na bodi ya Ligi ikithubutu kutukata point 15 na kutushusha Daraja, basi nawaambieni TFF mwezi wa 10 tutashuka na Mama Samia, yaani hatumpi Kura, na atarudi kizimkazi kwakuwa yanga ndo tunachagua na tunaamua Raisi awe nani. Hivyo TFF isicheze na Kura za Mama, Uraisi wa Mama upo hatiani kama yanga itazidi kuonewa