Yanga hatuchezi Derby, tukishushwa tunashuka Na Mama Samia Octoba

Yanga hatuchezi Derby, tukishushwa tunashuka Na Mama Samia Octoba

Sasa unafananisha timu za shirikisho na mabingwa waCAF,shirikisho hamna timu
Teh teh! Bingwa wa CAF aliyeishia makundi? Kuonesha kucheza CAF champion na kufika robo ni mambo mageni kwenu Aly Kamwe alizimia uwanjani. Mpaka sasa Yanga hajavunja rekodi ya Simba CAF champion League. Simba imecheza AFL (African Footbal League). Yanga amecheza AFL?
Kipindi Yanga inacheza shirikisho mpaka fainali, Simba alicheza mpaka robo fainal ya CAF Champion League. Kibaya zaidi mlikuwa CAF champion League pamoja na Simba ila mkatolewa na Al Hilal kwa kuwa uwezo wenu mdogo mkacheza na Africaine mkaenda shirikisho hata sasa ile sheria ya CAF ingekuwa bado ipo mngeenda shirikisho kama best looser team.
*Shirikisho hakuna team, si mlikuwa mnajivunia Medali za shirikisho, mkanywa supu jangwani na
mkatengeneza documentary* Kumbuka Simba shirikisho anafanya mazoezi kupima vijana tu
 
Sisi ndio wananchi, tuna nguvu na ushawishi na tupo wengi kuliko hata takwimu za wananchama wa CCM na Chadema Kwa pamoja.

Kiuhalisia wingi wetu sisi yanga ndio unaamua nani awe Rais wa Nchi hii, panapokuwa na uchaguzi huru na WA haki.

Tunajua madudu ya Bodi ya Ligi na madudu ya Marefa yanavyopendelea timu ya Simba.

Sasa msimamo wetu yanga sisi hatuchezi Derby, na hakuna kitu TFF utafanya, na hatuchezi kwakuwa hatuna Imani na bodi ya Ligi na marefa wake kwakuwa wanawapendelea Simba. Hatutacheza na bodi ya Ligi ikithubutu kutukata point 15 na kutushusha Daraja, basi nawaambieni TFF mwezi wa 10 tutashuka na Mama Samia, yaani hatumpi Kura, na atarudi kizimkazi kwakuwa yanga ndo tunachagua na tunaamua Raisi awe nani. Hivyo TFF isicheze na Kura za Mama, Uraisi wa Mama upo hatiani kama yanga itazidi kuonewa
Nyie wengi matahira hayajui hata kusoma na kuandika yana muda wa kupiga kura.
 
Back
Top Bottom