mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,396
Kushuka nae uhakika aiwezekani tuchezewe namuna hii asee 🥺Sisi ndio wananchi, tuna nguvu na ushawishi na tupo wengi kuliko hata takwimu za wananchama wa CCM na Chadema Kwa pamoja.
Kiuhalisia wingi wetu sisi yanga ndio unaamua nani awe Rais wa Nchi hii, panapokuwa na uchaguzi huru na WA haki.
Tunajua madudu ya Bodi ya Ligi na madudu ya Marefa yanavyopendelea timu ya Simba.
Sasa msimamo wetu yanga sisi hatuchezi Derby, na hakuna kitu TFF utafanya, na hatuchezi kwakuwa hatuna Imani na bodi ya Ligi na marefa wake kwakuwa wanawapendelea Simba. Hatutacheza na bodi ya Ligi ikithubutu kutukata point 15 na kutushusha Daraja, basi nawaambieni TFF mwezi wa 10 tutashuka na Mama Samia, yaani hatumpi Kura, na atarudi kizimkazi kwakuwa yanga ndo tunachagua na tunaamua Raisi awe nani. Hivyo TFF isicheze na Kura za Mama, Uraisi wa Mama upo hatiani kama yanga itazidi kuonewa
Mama Samia hahusiani na huo upumbavu wenu wa huko Jangwani. Yanga sio chama cha siasa. Kuna wanayanga wa vyama mbalimbali hivyo huo upuuzi wako jaribu kuu-control.Sisi ndio wananchi, tuna nguvu na ushawishi na tupo wengi kuliko hata takwimu za wananchama wa CCM na Chadema Kwa pamoja.
Kiuhalisia wingi wetu sisi yanga ndio unaamua nani awe Rais wa Nchi hii, panapokuwa na uchaguzi huru na WA haki.
Tunajua madudu ya Bodi ya Ligi na madudu ya Marefa yanavyopendelea timu ya Simba.
Sasa msimamo wetu yanga sisi hatuchezi Derby, na hakuna kitu TFF utafanya, na hatuchezi kwakuwa hatuna Imani na bodi ya Ligi na marefa wake kwakuwa wanawapendelea Simba. Hatutacheza na bodi ya Ligi ikithubutu kutukata point 15 na kutushusha Daraja, basi nawaambieni TFF mwezi wa 10 tutashuka na Mama Samia, yaani hatumpi Kura, na atarudi kizimkazi kwakuwa yanga ndo tunachagua na tunaamua Raisi awe nani. Hivyo TFF isicheze na Kura za Mama, Uraisi wa Mama upo hatiani kama yanga itazidi kuonewa
Sasa waishushe yanga daraja uone octobaMama Samia hahusiani na huo upumbavu wenu wa huko Jangwani. Yanga sio chama cha siasa. Kuna wanayanga wa vyama mbalimbali hivyo huo upuuzi wako jaribu kuu-control.
Huna unalolijua dogoMama Samia hahusiani na huo upumbavu wenu wa huko Jangwani. Yanga sio chama cha siasa. Kuna wanayanga wa vyama mbalimbali hivyo huo upuuzi wako jaribu kuu-control.
Haya wacha tuoneHuna unalolijua dogo
Kule CAS nasikia tatizo hakuna msomi hapo Kwa vyura engineer naye ni wa mchongo Hana hata D 2Sisi ndio wananchi, tuna nguvu na ushawishi na tupo wengi kuliko hata takwimu za wananchama wa CCM na Chadema Kwa pamoja.
Kiuhalisia wingi wetu sisi yanga ndio unaamua nani awe Rais wa Nchi hii, panapokuwa na uchaguzi huru na WA haki.
Tunajua madudu ya Bodi ya Ligi na madudu ya Marefa yanavyopendelea timu ya Simba.
Sasa msimamo wetu yanga sisi hatuchezi Derby, na hakuna kitu TFF utafanya, na hatuchezi kwakuwa hatuna Imani na bodi ya Ligi na marefa wake kwakuwa wanawapendelea Simba. Hatutacheza na bodi ya Ligi ikithubutu kutukata point 15 na kutushusha Daraja, basi nawaambieni TFF mwezi wa 10 tutashuka na Mama Samia, yaani hatumpi Kura, na atarudi kizimkazi kwakuwa yanga ndo tunachagua na tunaamua Raisi awe nani. Hivyo TFF isicheze na Kura za Mama, Uraisi wa Mama upo hatiani kama yanga itazidi kuonewa
Usicheze na nguvu ya Wananchi, wewe ma ta ko huwezi jua, ila Samia ndo anajua kuwa bila yanga hatoboiWewe Kolo shoga, unachochea serikali!
Mama Samia hasomi ujinga wako huu, Yanga au Simba au CHADEMA ziwepo au ziwepo Samia mitano tena!
Panzi nae mchezaji yule?Unataka point 3 bila kumkaba mpanzu? Kweli
KAZI ni kipimo cha utu
Shukeni na mama yenu huko.Sisi ndio wananchi, tuna nguvu na ushawishi na tupo wengi kuliko hata takwimu za wananchama wa CCM na Chadema Kwa pamoja.
Kiuhalisia wingi wetu sisi yanga ndio unaamua nani awe Rais wa Nchi hii, panapokuwa na uchaguzi huru na WA haki.
Tunajua madudu ya Bodi ya Ligi na madudu ya Marefa yanavyopendelea timu ya Simba.
Sasa msimamo wetu yanga sisi hatuchezi Derby, na hakuna kitu TFF utafanya, na hatuchezi kwakuwa hatuna Imani na bodi ya Ligi na marefa wake kwakuwa wanawapendelea Simba. Hatutacheza na bodi ya Ligi ikithubutu kutukata point 15 na kutushusha Daraja, basi nawaambieni TFF mwezi wa 10 tutashuka na Mama Samia, yaani hatumpi Kura, na atarudi kizimkazi kwakuwa yanga ndo tunachagua na tunaamua Raisi awe nani. Hivyo TFF isicheze na Kura za Mama, Uraisi wa Mama upo hatiani kama yanga itazidi kuonewa
Mwakakikundi meshindwa kucheza CAF Champion League. Matatizo na ujinga wenu mnaupeleka kwa Simba.Kuna siku nilisema Simba iweke mtu wake pale Ikulu ndiyo itatwaa tena ubingwa, nikatishwa vibaya mno hadi nikalazimika kuwaambia mods wafute uzi wangu.
Ngoja nione huu uzi utakwendaje.