Yanga hatuchezi Derby, tukishushwa tunashuka Na Mama Samia Octoba

Pesa ya kupeleka kesi CAS imeliwa kwa mara nyingine bila mafanikio, viongozi wanatafuta kichaka cha kufichia madhaifu yao kwa uamuzi wao wa kukurupuka
 
Wewe Kolo shoga, unachochea serikali!

Mama Samia hasomi ujinga wako huu, Yanga au Simba au CHADEMA ziwepo au ziwepo Samia mitano tena!
Hizi nguvu mwakakikundi ungezitumia. Sasa hivi mngekuwa mnacheza fainal ya CAF champion League.
Kwa vile timu yenu mbovu meishia makundi kwa kupigwa na Al Hilal 2-0 na USM Alger mlitoka droo. Mngekuwa mna timu nzuri hizo timu zote mngezifunga.
Sasa hamna la kufanya kwahiyo mnatafuta kiki. Wewe subiri Simba atwae ubingwa CAF Confederation Cup.
Nyie mwakakikundi mlishiriki Olympic na medal za Olympic
 
Huna lolote usihusishe uraisi wa nchi na takataka za yanga
 
Sasa unafananisha timu za shirikisho na mabingwa waCAF,shirikisho hamna timu
 
Kuna siku nilisema Simba iweke mtu wake pale Ikulu ndiyo itatwaa tena ubingwa, nikatishwa vibaya mno hadi nikalazimika kuwaambia mods wafute uzi wangu.

Ngoja nione huu uzi utakwendaje.
Kombe linatolewa Ikulu?. Nadhani tunapaswa kuungana kupinga ubabaishaji unaofanywa na viongozi wa soka ili ikiwezekana wapatikane watu sahihi ili kurudisha heshma ya soka la nchi.
 
Hamna namna lazima tumrudishe kizimkazi..nashauri na Simba waweke mgomo ikiwa Yanga haitacheza hiyo mechi....
 
Hamna namna lazima tumrudishe kizimkazi..nashauri na Simba waweke mgomo ikiwa Yanga haitacheza hiyo mechi....
Waweke mgomo wa nini sasa, haina haja. Mwisho wa siku ni lazima, nasema tena ni lazima bingwa apatikane. Na bingwa halali hawezi kupatikana iwapo ratiba ya ligi haijakamilika. Hivyo kama Yanga atakataa kucheza iwapo tarehe ikipangwa, ni wazi atakatwa point. Hilo halina mjadala. Hao viongozi wa Yanga wanautoto mwingi.
 
Nyieee mumshushe mama samiaa? ndo mnamtisha hvyoo.ndomana clab nzima wapo wawili tuuuu.akili za utopwinyo mnazijua wenyewe
 
Kuna siku nilisema Simba iweke mtu wake pale Ikulu ndiyo itatwaa tena ubingwa, nikatishwa vibaya mno hadi nikalazimika kuwaambia mods wafute uzi wangu.

Ngoja nione huu uzi utakwendaje.
Ona hizi akili, hii nchi ina safari ndefu sana.
 
Sasa unafananisha timu za shirikisho na mabingwa waCAF,shirikisho hamna timu
Kwani huko CAFCL simba hajawahi kucheza na akafika robofainali tena mara nyingi tu?

Ndipo hapo mnapaswa kutambua timu yenu ni dhaifu ila humu ndani inapata ushindi kwa njia za panya
 
Mimi binafsi natamani iwe hivi, hii itakuwa habari njema kwetu sisi ambao ni wanasimba na pia ni wanachadema, shida ni kule juu kupata mtu ambaye ni simba na chadema kwa pamoja
 
Nyie na pacha mwenzenu wa Kariakoo ni matawi ya Ccm, sikio halizidi kichwa.
 
Aliyekumbia mkisusa mnashushwa dalaja ni nani ?
Mtashindwa kesi nyingine:
Waulizeni Al-Ahly, nao walisusa
 
Una low IQ, unapoteza mda kuandika ujinga
 
Nasema Hivi Watacheza Sana
Subirini Mtaona Wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…