Yanga hawatafurukuta CAFCL.

[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unaota wee au?
Tatizo mpira umeujulia ukubwa inawezekana kipindi hiko may be ulikuwa umehifadhiwa kwenye zipu.
 
Kama hiyo clear chance haikwenda golini haikuwa attempt na hivyo huwezi kusema ikikuwa hatari kwa mpinzani. Ninachojua ni kuwa Manula leo hajaokoa hatari yoyote. Alikuwa anacheza pasi kama Kanoute na Chama.
Haujachelewa bado una muda wa kujifunza kuhusu mpira wa miguu, fuatilia mechi za ulaya utaona kuna kitu kinaitwa attempts, chances missed, big chance missed. Wewe mpira bado hujui Scars huyu ndugu ni simba mwenzio anatia aibu hata attempt harlewi uwe una mpa course kuhusu mpira wa miguu na misamiati yake
 
Umetumia kigezo gani kusema timu moja ni underdog bwana mjuaji?
Kawaulize bookmarkers kigezo gani walitumia kuipa point 2 yanga kushinda mechi ya leo na point 3 Simba kushinda.
 
Ks
Acha kukimbilia ulaya.... Big chance ipi mliyokosa banah wewe....
 
Kawaulize bookmarkers kigezo gani walitumia kuipa point 2 yanga kushinda mechi ya leo na point 3 Simba kushinda.
Kumbe ni akili za betting unatumia? Nina hakika wewe hujui kabisa maana ya underdog... Itakuwa ulisikia kwa kina dauda huko ukakariri.
 
Ianga atachezaje Champions league wakati hatofuzu?
 
Nyie si mlienda Morocco mkaishiwa hela mkaamua kuvunja kambi na kurudi kufanyia jangwani.

Ama mlikuwa na zuio la pre season.?
 
Kama Simba hii iliyofungwa na mbeya city+ kagera wanafika robo Leo yanga hii ambayo inaongoza ligi bila kufungwa ndio washindwe kufurukuta?
Kwani si mlienda club bingwa mliishia wapi?
 
Pale wenye akili ni wawili tu, sema "na iwe hivyo"
 
Kama makolo mnagongeshwa na timu za mbeya city na ksgera sugar mmefika robo fainali tena mkiwa na washambukiaji kina kibu denis na mugalu ambao ata goli 4 awana kwenye ligi itakuwaje yanga ishindwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…