Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
nimeomba nisaidiwe hapo juu au wewe kile kipigo cha 5 ubuyu bado wenge lake halijatoka?tuambie wewe...
Tungefatwa majumbani kwetu asubuhi unatoka kwenda kazini anamkuta shabiki wa Uto anakusubiri mlangoni akufananishie Uto yao na Barca.[emoji23][emoji23]Najiuliza hapo kafungwa Dodoma jiji hali imekuwa hivi, vipi ingekuwa ndio Al Ahly?
vipi ile simba ya 2012 iliomchabanga utopolo 5 ubuyu unaifananisha na timu gan duniani
Subiri wazee wa makasiriko(makolo) watakavyokushukia kama mweweTunamfunga yoyote huku tukicheza sex football
Yanga hii inafanana sana na Barcelona bora ya Guardiola ya 2008-11
Yaani nikimtazama Mayele ni Eto'o mtupu, wakati Dickson Job ni Puyol.
Sasa ukija kwa huyu Aucho ni Xavi kabisaaa huku Feitoto akirandana kabisa na Iniesta.
Yanga hii ni bora na inafanana sana na Barcelona ya Guardiola.
Njooni mnipige nipo Kongwa, Dodoma, Niwatakie mwaka mpya wadau wote wa soka
Al ahly kishawahi kufungwa tena bila spray changing room hapo taifa na kukawa na amani tuNajiuliza hapo kafungwa Dodoma jiji hali imekuwa hivi, vipi ingekuwa ndio Al Ahly?
Kulikua kuna amani ila leo kapigwa dodoma jiji amani imetowekaAl ahly kishawahi kufungwa tena bila spray changing hapo taifa na kukawa na amani tu
Amani ipo ya kutosha sema wenge lako tu ndilo linakufanya uone amani imetoweka kwa lile goli la aucho unayekesha hapa kumsema wa kawaida huku akiendelea kukuprove wrongKulikua kuna amani ila leo kapigwa dodoma jiji amani imetoweka
Sasa kumbe niliposema wakawaida wwe ukatafsiri kwamba hata kwenye mechi simple kama hizi hawezi kutia kamba?Amani ipo ya kutosha sema wenge lako tu kwa lile goli la aucho unayekesha hapa kumsema wa kawaida huku akiendelea kukuprove wrong
Kama ni ndoto amka haraka.Tunamfunga yoyote huku tukicheza sex football