Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Tunamfunga yoyote huku tukicheza sex football
Yanga hii inafanana sana na Barcelona bora ya Guardiola ya 2008-11
Yaani nikimtazama Mayele ni Eto'o mtupu, wakati Dickson Job ni Puyol.
Sasa ukija kwa huyu Aucho ni Xavi kabisaaa huku Feitoto akirandana kabisa na Iniesta.
Yanga hii ni bora na inafanana sana na Barcelona ya Guardiola.
Njooni mnipige nipo Kongwa, Dodoma, Niwatakie mwaka mpya wadau wote wa soka