Nigger360
JF-Expert Member
- Oct 28, 2021
- 436
- 1,065
Real madrid ya cr7 iliyochukua UEFA mara nne mfulilizovipi ile simba ya 2012 iliomchabanga utopolo 5 ubuyu unaifananisha na timu gan duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Real madrid ya cr7 iliyochukua UEFA mara nne mfulilizovipi ile simba ya 2012 iliomchabanga utopolo 5 ubuyu unaifananisha na timu gan duniani
Unafikiri timu pinzani kujifunga ni jambo rahisi eti?kwamba wanachukua tu mpira wanaenda kujifunga?hadi timu inajifunga ujue presha ya mchezo ni kubwa yaani umezidiwa ndio maana unajifungaSasa kumbe niliposema wakawaida wwe ukatafsiri kwamba hata kwenye mechi simple kama hizi hawezi kutia kamba?
Mechi ambayo hadi wapinzani wanajifunga nayo yakuitumia kama factor katiakuangalia uwezo wa mchezaji?
Ni undezi wa mabeki na kucheza chini ya kiwangoUnafikiri timu pinzani kujifunga ni jambo rahisi eti?kwamba wanachukua tu mpira wanaenda kujifunga?hadi timu inajifunga ujue presha ya mchezo ni kubwa yaani umezidiwa ndio maana unajifunga
Sio chini ya kiwango uwezo wao ndio umeishia hapoNi undezi wa mabeki na kucheza chini ya kiwango
kweli kabisa mkuu yaani sisi utopolo wale rivers united tuliwapeleka zenji tukawafunga nje ndaniMm pia ni mwanasimba ila nakubaliana na ww kabisa
Yaani timu zinazocheza na Yanga wala hazijui kama zinataka FANTA au YANGA yenyewe
uko sahihi mkuu pia uto yetu naifananisha na chama langu la nyumbani maji maji fc ilioachwa solemba na gsmNaifananisha na Mbagala market iliyoachwa solemba na Moo
nikupe mjiNaifananisha na ndanda fc
Kipimo Dodoma jiji? Watz tunaelekea kuwa vichaa.Tunamfunga yoyote huku tukicheza sex football
Yanga hii inafanana sana na Barcelona bora ya Guardiola ya 2008-11
Yaani nikimtazama Mayele ni Eto'o mtupu, wakati Dickson Job ni Puyol.
Sasa ukija kwa huyu Aucho ni Xavi kabisaaa huku Feitoto akirandana kabisa na Iniesta.
Yanga hii ni bora na inafanana sana na Barcelona ya Guardiola.
Njooni mnipige nipo Kongwa, Dodoma, Niwatakie mwaka mpya wadau wote wa soka
Sahihi kabisaNingeomba niweke ushabiki pembeni niongee fact, mtakaa mtabishana kwa kila aina ya majigambo ila ukweli ni kwamba, ligi yetu dhaifu mno, gape baina ya timu kubwa 2 za Simba na yanga na timu zingine ni kubwa sana. Hivyo huwezi ukasema mchezaji fulani ni mzuri wakati timu anazocheza nazo ndo kama hivyo Dodoma Jiji and the like, mchezaji mzuri anaonekana kwenye mechi ngumu, zenye intensity kubwa.
Leo utasikia sijui aucho, Fei toto, mayele lakini wote hao hawaku onekana kwenye mechi ya derby dhidi ya simba. Nimeitaja Simba sababu ndio mechi kubwa ambayo mchezaji anapaswa kuonesha ukubwa wake.
Tumeshuhudia yanga akichapwa nje ndani kwenye mechi za kimataifa, bila kufunga hata goli la offside, najua mtasema sijui mayele, aucho, bangala, djuma hawakuwepo lakini niwakumbushe tu hao wakina djuma shabani walikuwepo as vita ambayo ilichapwa na Simba nje ndani, akianzia kwao 1-0, akaja kulala goli 4 kwa mkapa.
Hivyo kutokana na udhaifu wa ligi yetu, ni vizuri kupima uwezo wa wachezaji wetu kupitia mechi za kimataifa, kama ilivyokua kwa chama na miquissone, waliwasha moto huko Caf wakaonekana, niwaambie tu sio rahisi hata kidogo mchezaji atoke kwenye ligi dhaifu kama ya Tanzania Kisha asajiliwe moja kwa moja Al ahly, sio rahisi hata kidogo u got to be extra ordinary kama alivyokua miquissone.
Mlishajiuliza kwanini kila siku miaka na miaka mnaimba jina la Fei toto kuwa mchezaji mzuri, lakini hatujawahi hata kusikia tetesi akitakiwa na vilabu vikubwa barani africa ??. Sawa anaweza akawa bora ila ubora huo anauonesha akicheza na nani??.
Hivyo itoshe tu kusema kuwa yanga ni bora akicheza na Dodoma Jiji, mbeya kwanza nk. lakini yanga ni ya kawaida sana akicheza na Simba au akiwa kimataifa.
HUU UKWELI KUNA WATU HAWATAKI UUSEMETunamfunga yoyote huku tukicheza sex football
Yanga hii inafanana sana na Barcelona bora ya Guardiola ya 2008-11
Yaani nikimtazama Mayele ni Eto'o mtupu, wakati Dickson Job ni Puyol.
Sasa ukija kwa huyu Aucho ni Xavi kabisaaa huku Feitoto akirandana kabisa na Iniesta.
Yanga hii ni bora na inafanana sana na Barcelona ya Guardiola.
Njooni mnipige nipo Kongwa, Dodoma, Niwatakie mwaka mpya wadau wote wa soka
RUBBISHINGNingeomba niweke ushabiki pembeni niongee fact, mtakaa mtabishana kwa kila aina ya majigambo ila ukweli ni kwamba, ligi yetu dhaifu mno, gape baina ya timu kubwa 2 za Simba na yanga na timu zingine ni kubwa sana. Hivyo huwezi ukasema mchezaji fulani ni mzuri wakati timu anazocheza nazo ndo kama hivyo Dodoma Jiji and the like, mchezaji mzuri anaonekana kwenye mechi ngumu, zenye intensity kubwa.
Leo utasikia sijui aucho, Fei toto, mayele lakini wote hao hawaku onekana kwenye mechi ya derby dhidi ya simba. Nimeitaja Simba sababu ndio mechi kubwa ambayo mchezaji anapaswa kuonesha ukubwa wake.
Tumeshuhudia yanga akichapwa nje ndani kwenye mechi za kimataifa, bila kufunga hata goli la offside, najua mtasema sijui mayele, aucho, bangala, djuma hawakuwepo lakini niwakumbushe tu hao wakina djuma shabani walikuwepo as vita ambayo ilichapwa na Simba nje ndani, akianzia kwao 1-0, akaja kulala goli 4 kwa mkapa.
Hivyo kutokana na udhaifu wa ligi yetu, ni vizuri kupima uwezo wa wachezaji wetu kupitia mechi za kimataifa, kama ilivyokua kwa chama na miquissone, waliwasha moto huko Caf wakaonekana, niwaambie tu sio rahisi hata kidogo mchezaji atoke kwenye ligi dhaifu kama ya Tanzania Kisha asajiliwe moja kwa moja Al ahly, sio rahisi hata kidogo u got to be extra ordinary kama alivyokua miquissone.
Mlishajiuliza kwanini kila siku miaka na miaka mnaimba jina la Fei toto kuwa mchezaji mzuri, lakini hatujawahi hata kusikia tetesi akitakiwa na vilabu vikubwa barani africa ??. Sawa anaweza akawa bora ila ubora huo anauonesha akicheza na nani??.
Hivyo itoshe tu kusema kuwa yanga ni bora akicheza na Dodoma Jiji, mbeya kwanza nk. lakini yanga ni ya kawaida sana akicheza na Simba au akiwa kimataifa.
Ujamuelewa mleta mada.2008 kulikua na Barcelona timu ya mtaani Buza.
2011 kulikua na Barcelona timu ya mtaani Kimara Bonyokwa.
Itakua moja wapo kwenye izo,ila sio Barca ya Spain.
Pumba tupuUjamuelewa mleta mada.
Kwani Feisal ana tofauti gani na Iniesta...?
Je Aucho ana tofauti gani na Xavi..?
Je ni kitu gani prime etoo anayomzidi Mayele?
Mshery ana tofauti ipi na Valdez..?
Fikirisha akili.