Yanga hii naifananisha Barcelona ya 2008-2011

Sasa kumbe niliposema wakawaida wwe ukatafsiri kwamba hata kwenye mechi simple kama hizi hawezi kutia kamba?

Mechi ambayo hadi wapinzani wanajifunga nayo yakuitumia kama factor katiakuangalia uwezo wa mchezaji?
Unafikiri timu pinzani kujifunga ni jambo rahisi eti?kwamba wanachukua tu mpira wanaenda kujifunga?hadi timu inajifunga ujue presha ya mchezo ni kubwa yaani umezidiwa ndio maana unajifunga
 
2008 kulikua na Barcelona timu ya mtaani Buza.
2011 kulikua na Barcelona timu ya mtaani Kimara Bonyokwa.
Itakua moja wapo kwenye izo,ila sio Barca ya Spain.
 
Mm pia ni mwanasimba ila nakubaliana na ww kabisa

Yaani timu zinazocheza na Yanga wala hazijui kama zinataka FANTA au YANGA yenyewe
 
kweli kabisa mkuu yaani sisi utopolo wale rivers united tuliwapeleka zenji tukawafunga nje ndani
 
Naifananisha na Mbagala market iliyoachwa solemba na Moo
uko sahihi mkuu pia uto yetu naifananisha na chama langu la nyumbani maji maji fc ilioachwa solemba na gsm
 
Barcelona wajanja sana wamekuja bongo wanajiita yanga.
Aucho vua hiyo mask wewe ni xavi tumekushtukia.
 
Tunamfunga yoyote huku tukicheza sex football

Yanga hii inafanana sana na Barcelona bora ya Guardiola ya 2008-11

Yaani nikimtazama Mayele ni Eto'o mtupu, wakati Dickson Job ni Puyol.

Sasa ukija kwa huyu Aucho ni Xavi kabisaaa huku Feitoto akirandana kabisa na Iniesta.

Yanga hii ni bora na inafanana sana na Barcelona ya Guardiola.

Njooni mnipige nipo Kongwa, Dodoma, Niwatakie mwaka mpya wadau wote wa soka
Kipimo Dodoma jiji? Watz tunaelekea kuwa vichaa.
Halafu tunaomba kuwekwa kwenye vitabu vya kumbukumbu na kujengewa Sanamu kwa kuifunga Dodoma jiji? Ebu tuwache mzaha.
 
Ningeomba niweke ushabiki pembeni niongee fact, mtakaa mtabishana kwa kila aina ya majigambo ila ukweli ni kwamba, ligi yetu dhaifu mno, gape baina ya timu kubwa 2 za Simba na yanga na timu zingine ni kubwa sana. Hivyo huwezi ukasema mchezaji fulani ni mzuri wakati timu anazocheza nazo ndo kama hivyo Dodoma Jiji and the like, mchezaji mzuri anaonekana kwenye mechi ngumu, zenye intensity kubwa.

Leo utasikia sijui aucho, Fei toto, mayele lakini wote hao hawaku onekana kwenye mechi ya derby dhidi ya simba. Nimeitaja Simba sababu ndio mechi kubwa ambayo mchezaji anapaswa kuonesha ukubwa wake.

Tumeshuhudia yanga akichapwa nje ndani kwenye mechi za kimataifa, bila kufunga hata goli la offside, najua mtasema sijui mayele, aucho, bangala, djuma hawakuwepo lakini niwakumbushe tu hao wakina djuma shabani walikuwepo as vita ambayo ilichapwa na Simba nje ndani, akianzia kwao 1-0, akaja kulala goli 4 kwa mkapa.

Hivyo kutokana na udhaifu wa ligi yetu, ni vizuri kupima uwezo wa wachezaji wetu kupitia mechi za kimataifa, kama ilivyokua kwa chama na miquissone, waliwasha moto huko Caf wakaonekana, niwaambie tu sio rahisi hata kidogo mchezaji atoke kwenye ligi dhaifu kama ya Tanzania Kisha asajiliwe moja kwa moja Al ahly, sio rahisi hata kidogo u got to be extra ordinary kama alivyokua miquissone.

Mlishajiuliza kwanini kila siku miaka na miaka mnaimba jina la Fei toto kuwa mchezaji mzuri, lakini hatujawahi hata kusikia tetesi akitakiwa na vilabu vikubwa barani africa ??. Sawa anaweza akawa bora ila ubora huo anauonesha akicheza na nani??.

Hivyo itoshe tu kusema kuwa yanga ni bora akicheza na Dodoma Jiji, mbeya kwanza nk. lakini yanga ni ya kawaida sana akicheza na Simba au akiwa kimataifa.
 
Sahihi kabisa

Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
 
Tunamfunga yoyote huku tukicheza sex football

Yanga hii inafanana sana na Barcelona bora ya Guardiola ya 2008-11

Yaani nikimtazama Mayele ni Eto'o mtupu, wakati Dickson Job ni Puyol.

Sasa ukija kwa huyu Aucho ni Xavi kabisaaa huku Feitoto akirandana kabisa na Iniesta.

Yanga hii ni bora na inafanana sana na Barcelona ya Guardiola.

Njooni mnipige nipo Kongwa, Dodoma, Niwatakie mwaka mpya wadau wote wa soka
HUU UKWELI KUNA WATU HAWATAKI UUSEME
 
Ningeomba niweke ushabiki pembeni niongee fact, mtakaa mtabishana kwa kila aina ya majigambo ila ukweli ni kwamba, ligi yetu dhaifu mno, gape baina ya timu kubwa 2 za Simba na yanga na timu zingine ni kubwa sana. Hivyo huwezi ukasema mchezaji fulani ni mzuri wakati timu anazocheza nazo ndo kama hivyo Dodoma Jiji and the like, mchezaji mzuri anaonekana kwenye mechi ngumu, zenye intensity kubwa.

Leo utasikia sijui aucho, Fei toto, mayele lakini wote hao hawaku onekana kwenye mechi ya derby dhidi ya simba. Nimeitaja Simba sababu ndio mechi kubwa ambayo mchezaji anapaswa kuonesha ukubwa wake.

Tumeshuhudia yanga akichapwa nje ndani kwenye mechi za kimataifa, bila kufunga hata goli la offside, najua mtasema sijui mayele, aucho, bangala, djuma hawakuwepo lakini niwakumbushe tu hao wakina djuma shabani walikuwepo as vita ambayo ilichapwa na Simba nje ndani, akianzia kwao 1-0, akaja kulala goli 4 kwa mkapa.

Hivyo kutokana na udhaifu wa ligi yetu, ni vizuri kupima uwezo wa wachezaji wetu kupitia mechi za kimataifa, kama ilivyokua kwa chama na miquissone, waliwasha moto huko Caf wakaonekana, niwaambie tu sio rahisi hata kidogo mchezaji atoke kwenye ligi dhaifu kama ya Tanzania Kisha asajiliwe moja kwa moja Al ahly, sio rahisi hata kidogo u got to be extra ordinary kama alivyokua miquissone.

Mlishajiuliza kwanini kila siku miaka na miaka mnaimba jina la Fei toto kuwa mchezaji mzuri, lakini hatujawahi hata kusikia tetesi akitakiwa na vilabu vikubwa barani africa ??. Sawa anaweza akawa bora ila ubora huo anauonesha akicheza na nani??.

Hivyo itoshe tu kusema kuwa yanga ni bora akicheza na Dodoma Jiji, mbeya kwanza nk. lakini yanga ni ya kawaida sana akicheza na Simba au akiwa kimataifa.
RUBBISHING
 
2008 kulikua na Barcelona timu ya mtaani Buza.
2011 kulikua na Barcelona timu ya mtaani Kimara Bonyokwa.
Itakua moja wapo kwenye izo,ila sio Barca ya Spain.
Ujamuelewa mleta mada.

Kwani Feisal ana tofauti gani na Iniesta...?

Je Aucho ana tofauti gani na Xavi..?

Je ni kitu gani prime etoo anayomzidi Mayele?

Mshery ana tofauti ipi na Valdez..?

Fikirisha akili.
 
Pumba tupu
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom