Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Nna uhakika kabisa kama wameweza kusajili wachezaji wa simba waliotemwa nna uhakika hata mbinu zilzokuwa zinatumiwa na Simba ileeeeeee ya kwa Mkapa hatoki mtu imeibwa na hawa jamaa.
Kiukweli wana makafara mazito mazito ambayo hayazuiliki, mbinu zote za Simba wamechukua wao, wanakimbiza kama Simba ileeeeee ya kwa Mkapa hatoki mtu.
Mazembe alikuwa anakufa si chini ya goli 8 leo, wao waliona miiba imetegwa kwenye basi tu kumbe wap, wakongo wenzao wamewasaliti.
Gusa Achia Twende Kwao + makafara mazito hatopona mtu
Naitakia kila heri Simba sports club kesho ipi na sisi tuwe na furaha.