Yanga ihusishe Dini mbalimbali kwenye Dua yao ya Ijumaa

Yanga ihusishe Dini mbalimbali kwenye Dua yao ya Ijumaa

Vichekesho

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
66
Reaction score
3,277
Ratiba ya wiki ya Mwananchi inaonesha kuwa siku ya ijumaa ni siku maalumu ya dua kwaajili ya timu yetu.

Napendekeza kuwa kwakuwa wachezaji, wanachama na mashabiki wa Yanga ni watu wa imani mbalimbali, basi tukio hili liheshimu imani zao kwa kuwa na uwakilishi wa viongozi wa imani mbalimbali.

Tuachane na ratiba ambazo zinaashiria udini.
 
Hizi timu mbili ni za kiislamu, Dua zao, hata habari zao wanazotoa wanaanza salamu za kiarabu na Wala hawajishtukii
Sema nao wanaitikadi za kizamani.

Club inakuwa operated kama ni timu ya Kanisa au Msikiti. Afu then deep down dini hizo hizo tunasikia some prechers wakisema mpira ni haramu.

Kuna vitu ambavyo kama Club inapaswa kujiwekea mipaka.

Maswala ya dini, ukabila na siasa ni vitu ambavyo Club inapaswa kujitenga navyo, vinavuruga unit ndani ya timu.

Hivyo ni vitu ambavyo vinapaswa kufanywa individually mfano na wachezaji na viongozi lakini sio ku organize taasisi.
 
Huo ni ushamba, na wamesha ambiwa mara kadhaa.
Munaleta ugalatia wenu mpaka kwenye soccer.
Nyinyi watoto wa mikoani (wakristo wa mikoani ndio muna udini sana) sijui mukoje?

Yanga na Simba ziko Daressalam ambako wenyeji wa mkoa huo munafahm ni Wandengereko, Wazaramo, Wakwere na Wanyagatwa, na munafahm fika makabila hayo wakristo hakuna ama kama wapo ni 5% tu, sasa mukilazimisha iwe inasomwa sala ya birka malia mutakua munakosea.

Sio lazima kuzishabikia club za Daressal, maana hata huko mikoani kwenu zipo timu zinashiriki ligi kuu, kwanini
musizishabikie?

Ifikie hatua mila na desturi za watu wa Deresalam ziheshimiwe.
 
Na sisi waumini wa kiboko ya wachawi tunaomba mwakilishi wetu aje siku hiyo ....
Anzisheni timu yenu.
Yanga kipindi inaanzishwa hao babu zenu walikua wanakula nguruwe tu, leo nyinyi wajukuu munashabikia timu za watu na munataka kuwapangia cha kufanya.
Kila jamii ina mila na desturi zake, hizo dua (Munazo sema za kiislam) ndio mila na desturi ya mtu wa Daresalam (Achana na waliokuja kwa train)
 
Kwahiyo wapagani, waabudu mizimu na wakristo hawana nafasi Yanga na Simba? Dini ya kiislamu inafai kuwa mpira ni haramu kwahiyo tuseme kuwa ni wanafiki?
mimi nimeeleza kitu ambacho kipo,na ndio icho kitu na wewe umekiona kama nionavyo mimi kisha ukaleta uzi wa ombi kwa uongozi wa Yanga kuzingatia dini zingine kwenye dua.
 
dua za Simba na Yanga huwa ni za kiislam miaka yote kwasababu izo timu ni za kwao,watoto wa mjini madown town.

ukweli unauma ila ukiwa mkweli nafsi inakua huru na afya yako inaimarika.👌
Ili Soccar letu likue kwa haraka kila mtu ashabikie angalau timu ya mkoa wake kama sio wila yake ama kitongoji chake, iwe kama Ulaya tu.

Mtu kwenu Mbeya, timu kibao ligi kuu, lakini kila siku Yanga na Simba kwa nini?

Alafu tena munataka kuwapanda watu vichwani, ooh! na sala ya bikra maria nayo iwe sehem ya dua ya kuombea timu ya Mkoa Daressam, (Yanga na Simba)lah.. unaakili wewe?
 
Munaleta ugalatia wenu mpaka kwenye soccer.
Nyinyi watoto wa mikoani (wakristo wa mikoani ndio muna udini sana) sijui mukoje?

Yanga na Simba ziko Daressalam ambako wenyeji wa mkoa huo munafahm ni Wandengereko, Wazaramo, Wakwere na Wanyagatwa, na munafahm fika makabila hayo wakristo hakuna ama kama wapo ni 5% tu, sasa mukilazimisha iwe inasomwa sala ya birka malia mutakua munakosea.

Sio lazima kuzishabikia club za Daressal, maana hata huko mikoani kwenu zipo timu zinashiriki ligi kuu, kwanini
musizishabikie?

Ifikie hatua mila na desturi za watu wa Deresalam ziheshimiwe.
Uislamu si mila na desturi za hayo makabila uliyoyataja. Uislamu ni utamaduni wa kuabudu wa waarabu.
Kimsingi, mzaramo, mkwere, mndengereko n.k kuwa muislamu ni utumwa tu wa kiutamaduni.
 
Kikubwa tunajua mpira haram.........hayo maombi yanapoelekea huko tunajua sio kwa muumba ,labda yanaenda kwa wataalam wa vilingeni
images.jpeg-220.jpg
 
Cha msingi mambo sa dini yasiingizwe kwenye soka huo ni ulimbukeni.
Mambo ya dini ni yapi?
Kwani unavyo dhani watu wote wanaoamini kwenye maombi ni wanadini?
Sema chuki yako dhidi ya Uislam ndio imekufanya uje na post hii.

Chamsingi ni hichi, .......shabikia Yanga na Simba lakini heshimu mila na desturi za walio anzisha vilabu hivyo, la sivyo Shabikia timu ya mkoa wako.

Yani me niende Lizaboni (Songea) alafu niwakataze watu wasile nguruwe? sinitaoneka chizi!
 
Uislamu si mila na desturi za hayo makabila uliyoyataja. Uislamu ni utamaduni wa kuabudu wa waarabu.
Kimsingi, mzaramo, mkwere, mndengereko n.k kuwa muislamu ni utumwa tu wa kiutamaduni.
Narudia tena, Ukitaka kuzishabikia timu za mkoa wa Daressalam hayo mambo ya Dua za kiislam haya epukiki.

Kwahiyo wewe wa mkoani, una hiyari yako, ushabikie yanga na simba (huku hizo mila na desturi za kitumwa zikiendelea) ama ubakie mkoani kwako ushabikie timu yako.

Nb. Hata kushabikia timu isiyo na mahusiano na mila na desturi za kwako pia ni utumwa.
Kwahiyo watoto wa mikoani mutuache na timu zetu.

Shabikieni timu za munako tokea ili Soccar letu likue kwa haraka.
 
kwa soka la bongo hii ni ngumu kwasababu umewekwa mtu kati.

dimba la juu gsm,dimba la kati Mo,namba tisa Yusuf Bakhresa wa Azam f.c
👆
hapo utoboi mtumishi utakula nyingi.mpaka half time utakua ushapigika Wavaa kobazi 22-0 Vichekesho.
Wao si wanaanzisha makani ya kitapeli tu kama KIBOKO YA WACHAWI waislam wakijitoa kwenye Soccar,anataka kuwapangia cha kufanya, mpuuzi kweli huyo!
 
Back
Top Bottom