Munaleta ugalatia wenu mpaka kwenye soccer.
Nyinyi watoto wa mikoani (wakristo wa mikoani ndio muna udini sana) sijui mukoje?
Yanga na Simba ziko Daressalam ambako wenyeji wa mkoa huo munafahm ni Wandengereko, Wazaramo, Wakwere na Wanyagatwa, na munafahm fika makabila hayo wakristo hakuna ama kama wapo ni 5% tu, sasa mukilazimisha iwe inasomwa sala ya birka malia mutakua munakosea.
Sio lazima kuzishabikia club za Daressal, maana hata huko mikoani kwenu zipo timu zinashiriki ligi kuu, kwanini
musizishabikie?
Ifikie hatua mila na desturi za watu wa Deresalam ziheshimiwe.