City Owl
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 3,475
- 7,571
'Kuji-submit' to matakwa ya mungu kwa mtazamo wa kiarabu.Siyo kweli.
Unajuwa maana ya neno Uislam?
Uislamu umeundwa uarabuni kimsingi ni utamaduni wao wa kuabudu.
Hiyo ni fact, siyo maoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
'Kuji-submit' to matakwa ya mungu kwa mtazamo wa kiarabu.Siyo kweli.
Unajuwa maana ya neno Uislam?
Huu ni mtazamo uliopitwa na wakati.Narudia tena, Ukitaka kuzishabikia timu za mkoa wa Daressalam hayo mambo ya Dua za kiislam haya epukiki.
Kwahiyo wewe wa mkoani, una hiyari yako, ushabikie yanga na simba (huku hizo mila na desturi za kitumwa zikiendelea) ama ubakie mkoani kwako ushabikie timu yako.
Nb. Hata kushabikia timu isiyo na mahusiano na mila na desturi za kwako pia ni utumwa.
Kwahiyo watoto wa mikoani mutuache na timu zetu.
Shabikieni timu za munako tokea ili Soccar letu likue kwa haraka.
Simba ,yanga,azam na coast zote zina asili ya kiislam kutokana na asili ya wakazi wake .nyie wahamiaji pendeni timu za mikoa yenuRatiba ya wiki ya Mwananchi inaonesha kuwa siku ya ijumaa ni siku maalumu ya dua kwaajili ya timu yetu.
Napendekeza kuwa kwakuwa wachezaji, wanachama na mashabiki wa Yanga ni watu wa imani mbalimbali, basi tukio hili liheshimu imani zao kwa kuwa na uwakilishi wa viongozi wa imani mbalimbali.
Tuachane na ratiba ambazo zinaashiria udini.
Huu ni mtazamo uliopitwa na wakati.
Tanzania ni yetu sote na Simba na Yanga si za Dar tu, ni za Tanzania.
Sisi tunaangalia namna za kukuza timu, nyie mnaangalia kusambaza dini ya waarabu kupitia hizo timu. Kwanini?
Nadhani mambo ya michezo yawe free of dini, siasa, na mambo kama hayo yasiyo na tija.
Mwambie mwamposa aanzishe timu yake ...nani ulishaona amefanya icho kitu? kwenye mambo ya jumuiya kama haya ambayo ni sensitive kwenye imani, unatakiwa kuwa makini sana ili kuleta umoja. hata watangazaji wa mpira wana udini sana sana.
Umekosea sana.'Kuji-submit' to matakwa ya mungu kwa mtazamo wa kiarabu.
Uislamu umeundwa uarabuni kimsingi ni utamaduni wao wa kuabudu.
Hiyo ni fact, siyo maoni.
Hakuna ajuaye kwa hakika mtu wa kwanza ni nani na alianzia wapi..Umekosea sana.
Basi hata shuleni kwenu hujasoma kuhusu mtu wa kwanza alianzia wapi hapa duniani?
Mtu wa kwanza alianzia Africa, Kaskazini mwa Tanzania au Kenya.Umekosea sana.
Basi hata shuleni kwenu hujasoma kuhusu mtu wa kwanza alianzia wapi hapa duniani?
SahihiCha msingi, Yanga iheshimu uwepo wa dini nyingine waache upuuzi wa kuipa kipaumbele dini 1, wasipokuwa tayari basi waache kabisa habari za dini kwenye mpira.
Vyovyote iwavyo, haijalishi sana.Mtu wa kwanza alianzia Africa, Kaskazini mwa Tanzania au Kenya.
Ninasema Yanga wasibadili utaratibu wao wa miaka yote.Una afiki viongozi wa dini zote wahusike?
Wameshabadili tayari ndio maana sasa wana rais badala ya mwenyekiti na kina Magoma wamebaki wapiga kelele tu na hawana nafasi ya kucheza zuma tena jangwaniNinasema Yanga wasibadili utaratibu wao wa miaka yote.