Yanga ihusishe Dini mbalimbali kwenye Dua yao ya Ijumaa

Dude go back to school and get education!
 
Hizi timu mbili ni za kiislamu, Dua zao, hata habari zao wanazotoa wanaanza salamu za kiarabu na Wala hawajishtukii
Waislam hiyo ni dunia nzima siyo Tanzania tu.

Hata sala zetu zote ni namna moja, za Kiarabu cha Qur'an. Ukienda China unawasalisha Waislam na wanakuelewa, mwabie askofu wako aende akawasalishe kama watamuelewa. Au wewe ni wa yale makanisa ya ndombolo?
 
Wakatoliki, Anglican na waruteli kama taasisi watoe hawawezi shiriki ujinga huo. Wanajielewa labda utawaona hao individual churches na hao hao wazee wajingawajinga wa dar wakiutumia uislam ili kujinywea supu. Kumbuka uislam wenyewe unapinga mpira kwamba ni usheitwani.
 

 
Uislamu si mila na desturi za hayo makabila uliyoyataja. Uislamu ni utamaduni wa kuabudu wa waarabu.
Kimsingi, mzaramo, mkwere, mndengereko n.k kuwa muislamu ni utumwa tu wa kiutamaduni.
Siyo kweli.

Unajuwa maana ya neno Uislam?
 
Allah atachanganyikiwa hajui kiswahili wala kizungu na dini zingine hazijui Kiarabu vile vile.

Nashauri waendelee tu na mpango wao kwa matokeo mazuri zaidi.
 
Kama kawaida yao kufanya dua ya aina fulani basi wafanye hiyo hiyo iliyozoweleka, wasitake kubuni mapya tena.

Mimi nijuavyo miaka yote Yanga wanafanya dua Kiislam.
 
Mpira mchezo wa wahuni,wahuni wengi ni waislanmu,watoto wa kikristo husisitizwa elimu dunia wakati wa kiislam kutwa kucheza mipira tu,mwisho wa siku kwenye mikataba utasikia mimi sijui kingereza walin8fanganya
 
Haya utayaona bongo tu katika dunia hii.
 
Mambo ya Moira ni ya kishirikina. Nashauri waarike watu wa jadi kuongoza hizo dua, na watu wa dini zinazosupport Mambo hayo.
 
Miaka yote hizi klabu hujikita kwenye uisilamu tu ni vigumu kuzibadilisha.
 
Unataka askofu atoke kanisani aende kuiombea yanga mbona itakuwa ni kichekesho
 


Mkiambiwa Elimu ni mwanga wa ubongo ninyi mnasema ni mambo ya kidunia.(ILIMU DUNIA)

Ona sasa hata hili tu la kutambua matumizi ya "Mu" na "M" yanakushinda.
 
Ningesema jambo ila italeta taharuki bora ninyamaze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…