yanga na simba ni timu za kidini ya kiislam, ndio maana utakuta wakifunga, hata kama mkristo akifunga wanainama na kuputuka. hata yule beki ya tanga asiyejua mpira alipochukua kombe kule souz, aliinama akaputuka utadhani yanga ni ya waislam peke yao, mle ndani kuna wakristo pia ambao hawauamini uislam na hawataki kuusikia, ila utaona dua, matangazo ya yule meno yamejaa mdomoni (ramadhani takataka gani sijui mmalila) na wengine, wamejaa asalamaleko na upuuzi mwingi.Ratiba ya wiki ya Mwananchi inaonesha kuwa siku ya ijumaa ni siku maalumu ya dua kwaajili ya timu yetu.
Napendekeza kuwa kwakuwa wachezaji, wanachama na mashabiki wa Yanga ni watu wa imani mbalimbali, basi tukio hili liheshimu imani zao kwa kuwa na uwakilishi wa viongozi wa imani mbalimbali.
Tuachane na ratiba ambazo zinaashiria udini.
Hapana, pitia katiba yaoKwahiyo kigezo cha kuiongoza Yanga ni uislamu?
Mbona wakristo wanapiga njia ya msalaba na hukuti muislam akimaind, clement kawa Walidyanga na simba ni timu za kidini ya kiislam, ndio maana utakuta wakifunga, hata kama mkristo akifunga wanainama na kuputuka. hata yule beki ya tanga asiyejua mpira alipochukua kombe kule souz, aliinama akaputuka utadhani yanga ni ya waislam peke yao, mle ndani kuna wakristo pia ambao hawauamini uislam na hawataki kuusikia, ila utaona dua, matangazo ya yule meno yamejaa mdomoni (ramadhani takataka gani sijui mmalila) na wengine, wamejaa asalamaleko na upuuzi mwingi.
sasa itakuwajeNa sisi waumini wa kiboko ya wachawi tunaomba mwakilishi wetu aje siku hiyo ....
Kwani wamesema watafanya dua ya namna gani?Cha msingi, Yanga iheshimu uwepo wa dini nyingine waache upuuzi wa kuipa kipaumbele dini 1, wasipokuwa tayari basi waache kabisa habari za dini kwenye mpira.
Sema uislamu 22-0kwa soka la bongo hii ni ngumu kwasababu umewekwa mtu kati.
dimba la juu gsm,dimba la kati Mo,namba tisa Yusuf Bakhresa wa Azam f.c
👆
hapo utoboi mtumishi utakula nyingi.mpaka half time utakua ushapigika Wavaa kobazi 22-0 Vichekesho.
Hahahaaa, huko brazil, uingereza ni waislam? Mpira ni kipaji ndugu mimi ni muislam hata danadana sijui kupigaMpira mchezo wa wahuni,wahuni wengi ni waislanmu,watoto wa kikristo husisitizwa elimu dunia wakati wa kiislam kutwa kucheza mipira tu,mwisho wa siku kwenye mikataba utasikia mimi sijui kingereza walin8fanganya
Na je hiyo dua ni sahihi kufanyika? kwasababu masheikh wanadai mpira ni haramuKama kawaida yao kufanya dua ya aina fulani basi wafanye hiyo hiyo iliyozoweleka, wasitake kubuni mapya tena.
Mimi nijuavyo miaka yote Yanga wanafanya dua Kiislam.
Na hizi timu mbili zinaabudu sana ushirikinaHizi timu mbili ni za kiislamu, Dua zao, hata habari zao wanazotoa wanaanza salamu za kiarabu na Wala hawajishtukii
nani ulishaona amefanya icho kitu? kwenye mambo ya jumuiya kama haya ambayo ni sensitive kwenye imani, unatakiwa kuwa makini sana ili kuleta umoja. hata watangazaji wa mpira wana udini sana sana.Mbona wakristo wanapiga njia ya msalaba na hukuti muislam akimaind, clement kawa Walid
Hizi dua huwa zinaambatana na ushirikina, so they are not compatible with true ChristianityMnataka yanga walete kikundi cha kwaya kukatika viuno
Brazil hawasomi,huku Tanzania mpira asilimia 80 huchezwa na waislamHahahaaa, huko brazil, uingereza ni waislam? Mpira ni kipaji ndugu mimi ni muislam hata danadana sijui kupiga
uyo "sheikh" wako adai chochote apendacho. Uislam hauendeshwi kwa kauli za unaowaita "masheikh".Na je hiyo dua ni sahihi kufanyika? kwasababu masheikh wanadai mpira ni haramu
Wewe kijana unazijua mila za hayo makabila uliyoyataja au wewe ni wa mjini sana hata hujui mila zao??Munaleta ugalatia wenu mpaka kwenye soccer.
Nyinyi watoto wa mikoani (wakristo wa mikoani ndio muna udini sana) sijui mukoje?
Yanga na Simba ziko Daressalam ambako wenyeji wa mkoa huo munafahm ni Wandengereko, Wazaramo, Wakwere na Wanyagatwa, na munafahm fika makabila hayo wakristo hakuna ama kama wapo ni 5% tu, sasa mukilazimisha iwe inasomwa sala ya birka malia mutakua munakosea.
Sio lazima kuzishabikia club za Daressal, maana hata huko mikoani kwenu zipo timu zinashiriki ligi kuu, kwanini
musizishabikie?
Ifikie hatua mila na desturi za watu wa Deresalam ziheshimiwe.
Kwa mujibu wa hao masheikh wanadai kushabikia mpira ni haramu...je unakubaliana nao?uyo "sheikh" wako adai chochote apendacho. Uislam hauendeshwi kwa kauli za unaowaita "masheikh".
Maana ya dua ni kuwaombea waliotangulia na tuliopo.
Hapo ndio nashangaa.Na hizi timu mbili zinaabudu sana ushirikina
ohoo kebehi na majivuno vimetawala kitu usichojua Yanga na Simba ni zaidi ya vyama vya siasa leo hii Simba au Yanga anaenda Singida,Mwanza na Mbeya wanajaza uwanja wewe unaleta blaa blaa apa mbona KMC haina ao mashabiki na ni timu ya Dar es Salaam.Munaleta ugalatia wenu mpaka kwenye soccer.
Nyinyi watoto wa mikoani (wakristo wa mikoani ndio muna udini sana) sijui mukoje?
Yanga na Simba ziko Daressalam ambako wenyeji wa mkoa huo munafahm ni Wandengereko, Wazaramo, Wakwere na Wanyagatwa, na munafahm fika makabila hayo wakristo hakuna ama kama wapo ni 5% tu, sasa mukilazimisha iwe inasomwa sala ya birka malia mutakua munakosea.
Sio lazima kuzishabikia club za Daressal, maana hata huko mikoani kwenu zipo timu zinashiriki ligi kuu, kwanini
musizishabikie?
Ifikie hatua mila na desturi za watu wa Deresalam ziheshimiwe.
imewahi kuongozwa na mkristo? kwenye nafasi ya uenyekiti?Kwahiyo kigezo cha kuiongoza Yanga ni uislamu?