Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha kujudge hivo mkuu mpira ungekuwa unachezwa mdomoni daa sijui ingekuwajeNusu fainali mtafika kwa timu ipi Sheikh wangu!! Tuwe tu wakweli wakati mwingine.
Kama yanga ataweza kuingia robo sioni simba akishindwa kufika nusu kama atapita kwenda robo na kukutana na tp mazembeNusu fainali mtafika kwa timu ipi Sheikh wangu!! Tuwe tu wakweli wakati mwingine.
Umetumia formula ipi kujua watakutana Simba na MazembeKama yanga ataweza kuingia robo sioni simba akishindwa kufika nusu kama atapita kwenda robo na kukutana na tp mazembe
Nini maana ya robo Fainali...Kwa rekodi rasmi yale yalikuwa bado ni makundi na siyo robo fainali
Wakumbushe maana walikuwa hawajazaliwa au walikuwa watoto wadogo wanacheza na vumbi na matope1998 YANGA ALICHEZA ROBO FAINALI YA CHAMPION LEAGUE, KWA WAKATI ULE HATUA YA ROBO ILIKUWA INAWEKWA KWA MFUMO WA MAKUNDI.
Nini maana ya robo Fainali...
Robo Fainali ni pale timu zimebaki 8 katika mashindano na zinagawanywa katika timu mbili mbili zinazocheza MTOANO kwa kucheza ama mechi mbili kama AFL au CAFCL au mechi moja kama Kombe la Dunia na washindi wanaenda nusu fainali.Wakumbushe maana walikuwa hawajazaliwa au walikuwa watoto wadogo wanacheza na vumbi na matope
Unakuta huyu jamaa anategemewa na familiaRobo Fainali ni pale timu zimebaki 8 katika mashindano na zinagawanywa katika timu mbili mbili zinazocheza MTOANO kwa kucheza ama mechi mbili kama AFL au CAFCL au mechi moja kama Kombe la Dunia na washindi wanaenda nusu fainali.
Mwaka 1998, zilibaki timu 8 zilizogawanywa makundi 2 ya timu nne nne na kila timu ikiwemo Yanga ilicheza mechi 6. Kila rekodi iliyopo inasema ile ilikuwa hatua ya makundi na siyo robo fainali.
Robo Fainali ni pale timu zimebaki 8 katika mashindano na zinagawanywa katika timu mbili mbili zinazocheza MTOANO kwa kucheza ama mechi mbili kama AFL au CAFCL au mechi moja kama Kombe la Dunia na washindi wanaenda nusu fainali.
Mwaka 1998, zilibaki timu 8 zilizogawanywa makundi 2 ya timu nne nne na kila timu ikiwemo Yanga ilicheza mechi 6. Kila rekodi iliyopo inasema ile ilikuwa hatua ya makundi na siyo robo fainali.
Mshindi wa kundi la yanga alicheza moja kwa moja fainali na mshindi wa kundi lingine .Robo Fainali ni pale timu zimebaki 8 katika mashindano na zinagawanywa katika timu mbili mbili zinazocheza MTOANO kwa kucheza ama mechi mbili kama AFL au CAFCL au mechi moja kama Kombe la Dunia na washindi wanaenda nusu fainali.
Mwaka 1998, zilibaki timu 8 zilizogawanywa makundi 2 ya timu nne nne na kila timu ikiwemo Yanga ilicheza mechi 6. Kila rekodi iliyopo inasema ile ilikuwa hatua ya makundi na siyo robo fainali.
Sawa lakini haiifanyi hiyo kuwa robo fainali. Yanga ilicheza mechi 6 katika hatua hiyo, umewahi kusikia wapi timu inacheza mechi 6 katika robo fainali?Mshindi wa kundi la yanga alicheza moja kwa moja fainali na mshindi wa kundi lingine .
Mwaka huo hakukuwepo nusu fainali.
Ila mkwaka 1998 yanga ilikuwa na wachezaji wenye vipaji lakini ilikosa uongozi wenye maarifa Kama sasa.
Yanga ilicheza nane bora ya caf cl 1998.Sawa lakini haiifanyi hiyo kuwa robo fainali. Yanga ilicheza mechi 6 katika hatua hiyo, umewahi kusikia wapi timu inacheza mechi 6 katika robo fainali?
Siyo kweli ila kama nafsi yako inafurahi kwa kuamini ile ilikuwa ni robo fainali basi endelea kuamini hivyo. Hakuna chanzo chochote cha takwimu za michezo ambacho kitahesabu ile kama robo fainali. Tumia bando lako vizuri kujielimisha.Yanga ilicheza nane bora ya caf cl 1998.
Roho fainali ni nane bora ya caf cl .
Muhimu kutumia common sense .Siyo kweli ila kama nafsi yako inafurahi kwa kuamini ile ilikuwa ni robo fainali basi endelea kuamini hivyo. Hakuna chanzo chochote cha takwimu za michezo ambacho kitahesabu ile kama robo fainali. Tumia bando lako vizuri kujielimisha.
Hata Yanga ingefika final bado wangetafta sababu ya kubishaMuhimu kutumia common sense .
Wengine wanasema akili za kuambiwa unachanganya na akili zako .
Simple logic ni Kweli rekodi za caf zinasema yanga alikuwa 8 bora ya klabu za afrika .
Simple logic robo fainali ni Klabu 8 bora .
Jibu rahisi sana .
Mfano rahisi ni MLS ya marekani ina mfumo huoMuhimu kutumia common sense .
Wengine wanasema akili za kuambiwa unachanganya na akili zako .
Simple logic ni Kweli rekodi za caf zinasema yanga alikuwa 8 bora ya klabu za afrika .
Simple logic robo fainali ni Klabu 8 bora .
Jibu rahisi sana .
Voltaire alisema "common sense is not so common". Unaforce argument kwa kutwist facts na bila kuwa na evidence yoyote ya kukusapoti zaidi ya "trust me bro"Muhimu kutumia common sense .
Wengine wanasema akili za kuambiwa unachanganya na akili zako .
Simple logic ni Kweli rekodi za caf zinasema yanga alikuwa 8 bora ya klabu za afrika .
Simple logic robo fainali ni Klabu 8 bora .
Jibu rahisi sana .
"Theory" yangu inaenda kutimia na nawashukuru "wazee" walioona maono yangu haya yanafaa na kuyafanyia kazi kwa manufaa ya taifa.