Yanga ikitwaa Kombe la Shirikisho itapata Tsh. Bilioni 4.7, ikifungwa itapata Tsh. Bilioni 2.3

Mi nataka ushahidi wa maandishi yako, hela hazitoki kwa siri mkuu,
Ushahidi mwingine hauwezi kuupata kwenye mitandao ya kijamii, lakini kama ni mfuatiliaji wa masuala ya mpira wa miguu utakuwa unafahamu.
 
Mkuu kila kinachotoka caf kinatoka kwa wazi lakini mwenzetu huna uwezo wa kuthibitisha, haya basi tuambie wanapewa sh ngapi za maandalizi?
 
Back
Top Bottom