Yanga ikitwaa Kombe la Shirikisho itapata Tsh. Bilioni 4.7, ikifungwa itapata Tsh. Bilioni 2.3

Yanga ikitwaa Kombe la Shirikisho itapata Tsh. Bilioni 4.7, ikifungwa itapata Tsh. Bilioni 2.3

Sasa inakuwaje bingwa wa shirikisho apewe fedha kidogo kuliko ile ya maandalizi ya super league? Tunaambiwa simba amepewa b.5 ya maandalizi.
 
Kwa makolo wasio na akili Yanga anachukua shilingi 4,700,000,000.yaani milioni elfu nee na Mia Saba.
Hata kila mchezaji akipewa milioni Mia moja ya kuvinbia mtaani bado chenji inabaki. Endeleeni kuota bil 20 hewa.
 
Timu zinaposhiriki michuano ya KLABU BINGWA AFRIKA na KLABU BINGWA KWA NGAZI YA SHIRIKISHO huwa wanahudumiwa kila kitu, ni viatu tu ndiyo mchezaji anatakiwa kununua cha saizi yake. Lakini vitu vyote ni mdhamini ndiyo anagharamia.
Jaribu kuwa wa kujifunza kuliko kuwa mbishi. Unaongea uongo halafu kuonekana ni mtu wa kukosa maarifa, hata evidence za kuleta hapa umekosa. Unachoingea wewe hakipo. Ukiingia mashindano ya CAF ukatokewa hatua ya awali utakuwa umetoka patupu hata mia hauambulii. Ukiishia makundi utapewa ela ya kufika makundi, hivyo hivyo kwa wansishia robo, nusu na nafasi ya pili, atalipwa kulingana na kiwango alichofikia. Hakuna ela inayotolewa kwa kila stage. Jifunze kabla ya kubishana.
 
Jamaa ni mjuaji sana. Nimeona isiwe kesi.
Watu wote wana muelewesha yeye lakini baada ya kuzama chimbo asome ili ajielimishe yeye anakomaa na ubishi tu. Mwisho wa siku anatuambia hadi na jezi zinatengenezwa na CAF.
 
Unapewa kiasi kutoka kwenye hela uliyoahidiwa, kwa mfano ukiingia makundi utapewa laki halafu ukiingia robo ukiambiwa ni laki mbili maana yake ihii laki mbili ya robo inajumuisha na laki ya makundi halafu
Sasa hivi unaanza kuelewa na ukitaka kuelewa vizuri zaidi jaribu kufuatilia kwa makini michuano ya AZAM CONFEDERATION CUP.
 
Ingekuwa hivyo Zalan wasingerudi Sudan kwa miguu
Wale ZALAN kutoka SUDANI YA KUSINI waliamua kusafiri kwa kutumia basi na walirudi kwa kutumia basi, ijapokuwa pesa ya maandalizi kwa ngazi ya mtoano walipewa.
 
Jaribu kuwa wa kujifunza kuliko kuwa mbishi. Unaongea uongo halafu kuonekana ni mtu wa kukosa maarifa, hata evidence za kuleta hapa umekosa. Unachoingea wewe hakipo. Ukiingia mashindano ya CAF ukatokewa hatua ya awali utakuwa umetoka patupu hata mia hauambulii. Ukiishia makundi utapewa ela ya kufika makundi, hivyo hivyo kwa wansishia robo, nusu na nafasi ya pili, atalipwa kulingana na kiwango alichofikia. Hakuna ela inayotolewa kwa kila stage. Jifunze kabla ya kubishana.
Jaribu kuangalia hii link ya MAULID KITENGE imeeleza kila kitu.
 
Jaribu kuangalia hii link ya MAULID KITENGE imeeleza kila kitu.
Point yako hapa ni hipi
Screenshot_20230520-100348.jpg
 
Watu wanabishana na wewe kwakusema kwamba kila hatua unayovuka timu inapewa hela za maandalizi ambacho sio kweli
Kila kitu kimeelezwa hapo na hauwezi kushiriki mashindano yoyote pasipo kuwa na pesa ya maandalizi kutoka kwa mdhamini mkuu 🙏🏽
 
Kila kitu kimeelezwa hapo na hauwezi kushiriki mashindano yoyote pasipo kuwa na pesa ya maandalizi kutoka kwa mdhamini mkuu [emoji1431]
Wewe jamaa nimekufuatilia sana nimegundua wewe ni kichwa maji.

Kwahiyo kwa akili yako Simba iliyoishia Robo fainali itapewa pesa za Kufuzu Makundi + Pesa za robo fainali au wanapata za Robo fainali tu licha ya kuvuka makundi?
 
Jaribu kuangalia hii link ya MAULID KITENGE imeeleza kila kitu.
Alichoeleza Maulidi Kitenge ndicho mimi nilichokwambia pamoja na isajorsergio, MTZ 255Dar, nguvu,. Tate Mkuu Tajiri mpole na wengineo.

Sasa wewe njoo na majibu haya
1) kiasi kinachotolewa na CAF kwaajili ya maandalizi ni kiasi gani?
2) Tupe source inayoonesha kuwa CAF huipa pesa timu kwa kila hatua anayofuzu. Utuambie Simba alivuna sh ngapi kwa kifuzu makundi na sh ngapi alipata alivyocheza robo fainali
 
Kila kitu kimeelezwa hapo na hauwezi kushiriki mashindano yoyote pasipo kuwa na pesa ya maandalizi kutoka kwa mdhamini mkuu [emoji1431]
hakuna pesa yoyote ambayo unapewa na caf et kwa ajili ya maandalizi, haipo!
huo mfumo unaousema wewe upo uefa, ndio wanafanya hivyo!....

tena kwenye hizo pesa za zawadi, caf huwa wanakata zingine kwa ajili ya gharama za mchezo hasa eneo la tv, adhabu/fine (kama ile ya yanga),.....

kiufupi, timu huwa zinapewa pesa pungufu ya hio iliyoandikwa hapo (tafuta hata kiongozi wa simba atakwambia hilo).......,
 
Back
Top Bottom