Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,225
- 1,993
Sasa inakuwaje bingwa wa shirikisho apewe fedha kidogo kuliko ile ya maandalizi ya super league? Tunaambiwa simba amepewa b.5 ya maandalizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani hao tena. Makolo?Wenzio wamemchukua kipa wa vipers
Ndiyo! Kwa sababu timu haiwezi kushiriki michuano yoyote pasipokuwa na pesa za maandalizi kutoka kwa mdhamini mkuu au wahusika wa mashindano hayo.
Sijui, we subiri kumuona uwanjaniNani hao tena. Makolo?
Jaribu kuwa wa kujifunza kuliko kuwa mbishi. Unaongea uongo halafu kuonekana ni mtu wa kukosa maarifa, hata evidence za kuleta hapa umekosa. Unachoingea wewe hakipo. Ukiingia mashindano ya CAF ukatokewa hatua ya awali utakuwa umetoka patupu hata mia hauambulii. Ukiishia makundi utapewa ela ya kufika makundi, hivyo hivyo kwa wansishia robo, nusu na nafasi ya pili, atalipwa kulingana na kiwango alichofikia. Hakuna ela inayotolewa kwa kila stage. Jifunze kabla ya kubishana.Timu zinaposhiriki michuano ya KLABU BINGWA AFRIKA na KLABU BINGWA KWA NGAZI YA SHIRIKISHO huwa wanahudumiwa kila kitu, ni viatu tu ndiyo mchezaji anatakiwa kununua cha saizi yake. Lakini vitu vyote ni mdhamini ndiyo anagharamia.
Jamaa ni mjuaji sana. Nimeona isiwe kesi.Ndivyo ilivyo ila jamaa anaongea asichokijua na hata uthibitisho hana, analeta maneno ya vijiweni tu
Watu wote wana muelewesha yeye lakini baada ya kuzama chimbo asome ili ajielimishe yeye anakomaa na ubishi tu. Mwisho wa siku anatuambia hadi na jezi zinatengenezwa na CAF.Jamaa ni mjuaji sana. Nimeona isiwe kesi.
Sasa hivi unaanza kuelewa na ukitaka kuelewa vizuri zaidi jaribu kufuatilia kwa makini michuano ya AZAM CONFEDERATION CUP.Unapewa kiasi kutoka kwenye hela uliyoahidiwa, kwa mfano ukiingia makundi utapewa laki halafu ukiingia robo ukiambiwa ni laki mbili maana yake ihii laki mbili ya robo inajumuisha na laki ya makundi halafu
Wale ZALAN kutoka SUDANI YA KUSINI waliamua kusafiri kwa kutumia basi na walirudi kwa kutumia basi, ijapokuwa pesa ya maandalizi kwa ngazi ya mtoano walipewa.Ingekuwa hivyo Zalan wasingerudi Sudan kwa miguu
Jaribu kuangalia hii link ya MAULID KITENGE imeeleza kila kitu.Jaribu kuwa wa kujifunza kuliko kuwa mbishi. Unaongea uongo halafu kuonekana ni mtu wa kukosa maarifa, hata evidence za kuleta hapa umekosa. Unachoingea wewe hakipo. Ukiingia mashindano ya CAF ukatokewa hatua ya awali utakuwa umetoka patupu hata mia hauambulii. Ukiishia makundi utapewa ela ya kufika makundi, hivyo hivyo kwa wansishia robo, nusu na nafasi ya pili, atalipwa kulingana na kiwango alichofikia. Hakuna ela inayotolewa kwa kila stage. Jifunze kabla ya kubishana.
Point yako hapa ni hipiJaribu kuangalia hii link ya MAULID KITENGE imeeleza kila kitu.
Watu wanabishana na wewe kwakusema kwamba kila hatua unayovuka timu inapewa hela za maandalizi ambacho sio kweliJaribu kuangalia hii link ya MAULID KITENGE imeeleza kila kitu.
Kila kitu kimeelezwa hapo na hauwezi kushiriki mashindano yoyote pasipo kuwa na pesa ya maandalizi kutoka kwa mdhamini mkuu 🙏🏽Watu wanabishana na wewe kwakusema kwamba kila hatua unayovuka timu inapewa hela za maandalizi ambacho sio kweli
Wewe jamaa nimekufuatilia sana nimegundua wewe ni kichwa maji.Kila kitu kimeelezwa hapo na hauwezi kushiriki mashindano yoyote pasipo kuwa na pesa ya maandalizi kutoka kwa mdhamini mkuu [emoji1431]
Alichoeleza Maulidi Kitenge ndicho mimi nilichokwambia pamoja na isajorsergio, MTZ 255Dar, nguvu,. Tate Mkuu Tajiri mpole na wengineo.Jaribu kuangalia hii link ya MAULID KITENGE imeeleza kila kitu.
hapana,Ukiachana na zawadi ya UBINGWA, ina maana kwa lugha nyingine timu iliyofika fainali kwa ngazi ya SHIRIKISHO mpaka sasa hivi itakuwa imeshakusanya zaidi ya USD 2.0 MILLION kwa sababu kila hatua waliyokuwa wanavuka walikuwa wanapewa kitita cha pesa.
caf hawana hicho kitu,Huwa inafanyika katika kila hatua na mara nyingi huwa wanaita ni PESA ZA MAANDALIZI. Kwahiyo huwa kuna PESA ZA MAANDALIZI katika kila hatua ambapo timu itakuwa imefuzu.
hakuna pesa yoyote ambayo unapewa na caf et kwa ajili ya maandalizi, haipo!Kila kitu kimeelezwa hapo na hauwezi kushiriki mashindano yoyote pasipo kuwa na pesa ya maandalizi kutoka kwa mdhamini mkuu [emoji1431]