Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Ee Mungu Muumba mbingu na nchi tunakuomba Wananchi tupate furaha ambayo tangu tuje katika ulimwengu huu hatujawahi kupata kwa kubeba kombe lolote nnje ya Africa mashariki na kati.Mwaka huu tukishabeba ndoo ya CAFCC tutajiandaa msimu ujao kubeba CAFCL, wananchi hatuna jambo dogo.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app