Charles Mandela JF-Expert Member Joined Dec 9, 2011 Posts 2,752 Reaction score 2,282 May 20, 2023 #121 nguvu said: Mi nataka ushahidi wa maandishi yako, hela hazitoki kwa siri mkuu, Click to expand... Ushahidi mwingine hauwezi kuupata kwenye mitandao ya kijamii, lakini kama ni mfuatiliaji wa masuala ya mpira wa miguu utakuwa unafahamu.
nguvu said: Mi nataka ushahidi wa maandishi yako, hela hazitoki kwa siri mkuu, Click to expand... Ushahidi mwingine hauwezi kuupata kwenye mitandao ya kijamii, lakini kama ni mfuatiliaji wa masuala ya mpira wa miguu utakuwa unafahamu.
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 May 20, 2023 #122 Charles Mandela said: Ushahidi mwingine hauwezi kuupata kwenye mitandao ya kijamii, lakini kama ni mfuatiliaji wa masuala ya mpira wa miguu utakuwa unafahamu. Click to expand... Mkuu kila kinachotoka caf kinatoka kwa wazi lakini mwenzetu huna uwezo wa kuthibitisha, haya basi tuambie wanapewa sh ngapi za maandalizi?
Charles Mandela said: Ushahidi mwingine hauwezi kuupata kwenye mitandao ya kijamii, lakini kama ni mfuatiliaji wa masuala ya mpira wa miguu utakuwa unafahamu. Click to expand... Mkuu kila kinachotoka caf kinatoka kwa wazi lakini mwenzetu huna uwezo wa kuthibitisha, haya basi tuambie wanapewa sh ngapi za maandalizi?