Yanga imejiandaa vyema na mchezo na ipo imara kwenda kutafuta matokeo

PakiJinja

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
11,689
Reaction score
25,848
Yanga imejiandaa na mchezo wa leo kwa hali na mali. Ipo tayari kwenda uwanjani kupambana ili kupata matokeo.
Yanga haiendi uwanjani ikiwa na matokeo mfukoni, bali imejiandaa kupambana kkufa na kipona ikitambua matokeo yatapatioana uwanjani kupitia mpambano huo.
Mpira ni mchezo wa kugombania nafasi ili kupata points au kusonga mbele.

Wale wanaoingia ma matokeo yao uwanjani kabla ya mchezo, hao si wana familia bali ni wageni wa familia hiyo. Wakaribishwa..
 
Mimi hofu yangu kubwa iko kwa kocha wetu Garmondi tu!

Huyu jamaa huwa haoni kazi kumchezesha Kibabage namba 3, na Sure Boy namba 6; huku akiwa anafahamu fika hao wachezaji siyo wazuri kwenye ukabaji.

Halafu mbele anatuwekea Guede ambaye mpaka wakati huu, unaona ameshindwa kabisa kuingia kwenye mfumo wa timu!
 
Mkuu uliona lini sureboy akichezeshwa endapo Aucho yupo fiti? Mechi zote kubwa na muhimu Lomalisa na Aucho ucheza badala ya Sure boy na Kibabage. Rejea mechi dhidi ya Simba, ya Al Ahly mpaka anaumizwa, ya Belouizdad, n k.
 
Yanga imejiandaa na mchezo wa leo kwa hali na mali. Ipo tayari kewenda uwsnjana kupambana ili kupata matokeo.
Yanga hairndi uwanjani ikiwa na matokeo mfukoni, bali imejiandaa kupambana kkufa na kipona ikitambua matokeo yatapatioana uwanjani kupitia mpambano huo.
Mpira ni mchezo wa kugombania nafasi ili kupata points au kusonga mbele.

Wale wanaoingia ma matokeo yao uwanjani kabla ya mchezo, hao si wana faamilia bali ni wageni wa familia hiyo. Wakatibishwr.
japo mie ni yanga lakini tutafungwa tu,tuna injuries za key players
 
Kwani huko kwenu matokeo bado hamyajui? Yanga Wala asiangaike kuyatafuta aende akayachukue pale mkapa maana Leo taaifa linaenda kuaibika zaidi.
 
Yanga imejiandaa na mchezo wa leo kwa hali na mali. Ipo tayari kewenda uwsnjana kupambana ili kupata matokeo.
Yanga hairndi uwanjani ikiwa na matokeo mfukoni, bali imejiandaa kupambana kkufa na kipona ikitambua matokeo yatapatioana uwanjani kupitia mpambano huo.
Mpira ni mchezo wa kugombania nafasi ili kupata points au kusonga mbele.

Wale wanaoingia ma matokeo yao uwanjani kabla ya mchezo, hao si wana faamilia bali ni wageni wa familia hiyo. Wakatibishwr.
Yanga hawezi kushinda
 
Mkuu uliona lini sureboy akichezeshwa endapo Aucho yupo fiti? Mechi zote kubwa na muhimu Lomalisa na Aucho ucheza badala ya Sure boy na Kibabage. Rejea mechi dhidi ya Simba, ya Al Ahly mpaka anaumizwa, ya Belouizdad, n k.
Hili tatizo nililiona kwenye mechi ya mwisho dhidi ya Azam Fc. Na mpaka sasa bado kuna mashabiki hatuna uhakika kama Aucho, Kwasi, na Pacome wataanza kwenye mechi ya leo.
 
Kikubwa tuu Kibabage asianze
Na kama atalazimika kuanza, basi aanzishwe namba 11! Ila siyo beki namba 3. Maana dogo anajua kushambulia tu na kumwaga maji. Ila ukija kwenye kukaba, dogo hamna kitu.
 
Ila Mamelodi wao tu ndio hawajajiandaa vyema??

Tutaona
Yanga inatambua ubora wa Mamerodi pia inatambua nia yao ya kucheza fainali na inaheshimu uwekezaji walioufanya.
 
Na kama atalazimika kuanza, basi aanzishwe namba 11! Ila siyo beki namba 3. Maana dogo anajua kushambulia tu na kumwaga maji. Ila ukija kwenye kukaba, dogo hamna kitu.
Kwenye benchi upsnde wa magolikipa lazima utamkuta Metacha.
Ila Yao na yeye siku hizi anakatika sana, timu zimeanza kuugeuza upande wake kuwa uchochoro.
 
Msimu ujao viongozi wafanyie kazi mbadala wa Aucho. Asipokuwepo uwanjani timu inapwaya. Mwaka jana tumekosa kombe la shirikisho kwasababu ya kutokuwepo aucho uwanjani
Na anatakiwa mshindani hasa. Maana wachezaji wanaocheza namba yake (Zawadi Mauya na Jonas Mkude) bado viwango vyao siyo vya kuipambania timu kwenye mechi kubwa.
 
Ikishinda mtasema Tumshukuru rais kwa motisha
Ikifungwa lawama kwa wachezaj na kocha
 
Back
Top Bottom