Yanga imejiandaa vyema na mchezo na ipo imara kwenda kutafuta matokeo

Yanga imejiandaa vyema na mchezo na ipo imara kwenda kutafuta matokeo

Yanga inatambua ubora wa Mamerodi pia inatambua nia yao ya kucheza fainali na inaheshimu uwekezaji walioufanya.
Mbona mnapishana wenyewe kwa wenyewe

Wengine wanasema washafikia malengo kwasababu hamkufanya usajili wa kufika hatua hii.

Tushike lipi?
 
Mbona mnapishana wenyewe kwa wenyewe

Wengine wanasema washafikia malengo kwasababu hamkufanya usajili wa kufika hatua hii.

Tushike lipi?
Wanaosema hivyo wapo sawa, fursa imejileta je ulitaraji waiache mkuu?
 
Mimi hofu yangu kubwa iko kwa kocha wetu Garmondi tu!

Huyu jamaa huwa haoni kazi kumchezesha Kibabage namba 3, na Sure Boy namba 6; huku akiwa anafahamu fika hao wachezaji siyo wazuri kwenye ukabaji.

Halafu mbele anatuwekea Guede ambaye mpaka wakati huu, unaona ameshindwa kabisa kuingia kwenye mfumo wa timu!
Me kwa guede cn tatiz nae apo kwa kibabage no 3 ndo hofu yng ilipo 😁
 
Ila Mamelodi wao tu ndio hawajajiandaa vyema??

Tutaona
ba mkwe wa al ahly tulia uone mpira leo! leo kuna lile pira biriani pira lililoshiba haswaa!,chakufanya kaa na note book mchukue maarifa ya mpira!.. hizi sio enzi za mpira wa mdomoni hizi ni enzi za mpira wa mguu.
 
Back
Top Bottom