NakaziaIla Mamelodi wao tu ndio hawajajiandaa vyema??
Tutaona
Mkuu uliona lini sureboy akichezeshwa endapo Aucho yupo fiti? Mechi zote kubwa na muhimu Lomalisa na Aucho ucheza badala ya Sure boy na Kibabage. Rejea mechi dhidi ya Simba, ya Al Ahly mpaka anaumizwa, ya Belouizdad, n k.Mimi hofu yangu kubwa iko kwa kocha wetu Garmondi tu!
Huyu jamaa huwa haoni kazi kumchezesha Kibabage namba 3, na Sure Boy namba 6; huku akiwa anafahamu fika hao wachezaji siyo wazuri kwenye ukabaji.
Halafu mbele anatuwekea Guede ambaye mpaka wakati huu, unaona ameshindwa kabisa kuingia kwenye mfumo wa timu!
japo mie ni yanga lakini tutafungwa tu,tuna injuries za key playersYanga imejiandaa na mchezo wa leo kwa hali na mali. Ipo tayari kewenda uwsnjana kupambana ili kupata matokeo.
Yanga hairndi uwanjani ikiwa na matokeo mfukoni, bali imejiandaa kupambana kkufa na kipona ikitambua matokeo yatapatioana uwanjani kupitia mpambano huo.
Mpira ni mchezo wa kugombania nafasi ili kupata points au kusonga mbele.
Wale wanaoingia ma matokeo yao uwanjani kabla ya mchezo, hao si wana faamilia bali ni wageni wa familia hiyo. Wakatibishwr.
Yanga hawezi kushindaYanga imejiandaa na mchezo wa leo kwa hali na mali. Ipo tayari kewenda uwsnjana kupambana ili kupata matokeo.
Yanga hairndi uwanjani ikiwa na matokeo mfukoni, bali imejiandaa kupambana kkufa na kipona ikitambua matokeo yatapatioana uwanjani kupitia mpambano huo.
Mpira ni mchezo wa kugombania nafasi ili kupata points au kusonga mbele.
Wale wanaoingia ma matokeo yao uwanjani kabla ya mchezo, hao si wana faamilia bali ni wageni wa familia hiyo. Wakatibishwr.
Hili tatizo nililiona kwenye mechi ya mwisho dhidi ya Azam Fc. Na mpaka sasa bado kuna mashabiki hatuna uhakika kama Aucho, Kwasi, na Pacome wataanza kwenye mechi ya leo.Mkuu uliona lini sureboy akichezeshwa endapo Aucho yupo fiti? Mechi zote kubwa na muhimu Lomalisa na Aucho ucheza badala ya Sure boy na Kibabage. Rejea mechi dhidi ya Simba, ya Al Ahly mpaka anaumizwa, ya Belouizdad, n k.
Na kama atalazimika kuanza, basi aanzishwe namba 11! Ila siyo beki namba 3. Maana dogo anajua kushambulia tu na kumwaga maji. Ila ukija kwenye kukaba, dogo hamna kitu.Kikubwa tuu Kibabage asianze
Kwenye benchi upsnde wa magolikipa lazima utamkuta Metacha.Na kama atalazimika kuanza, basi aanzishwe namba 11! Ila siyo beki namba 3. Maana dogo anajua kushambulia tu na kumwaga maji. Ila ukija kwenye kukaba, dogo hamna kitu.
Na anatakiwa mshindani hasa. Maana wachezaji wanaocheza namba yake (Zawadi Mauya na Jonas Mkude) bado viwango vyao siyo vya kuipambania timu kwenye mechi kubwa.Msimu ujao viongozi wafanyie kazi mbadala wa Aucho. Asipokuwepo uwanjani timu inapwaya. Mwaka jana tumekosa kombe la shirikisho kwasababu ya kutokuwepo aucho uwanjani