Yanga imejiandaa vyema na mchezo na ipo imara kwenda kutafuta matokeo

Yanga inatambua ubora wa Mamerodi pia inatambua nia yao ya kucheza fainali na inaheshimu uwekezaji walioufanya.
Mbona mnapishana wenyewe kwa wenyewe

Wengine wanasema washafikia malengo kwasababu hamkufanya usajili wa kufika hatua hii.

Tushike lipi?
 
Mbona mnapishana wenyewe kwa wenyewe

Wengine wanasema washafikia malengo kwasababu hamkufanya usajili wa kufika hatua hii.

Tushike lipi?
Wanaosema hivyo wapo sawa, fursa imejileta je ulitaraji waiache mkuu?
 
Me kwa guede cn tatiz nae apo kwa kibabage no 3 ndo hofu yng ilipo 😁
 
Ila Mamelodi wao tu ndio hawajajiandaa vyema??

Tutaona
ba mkwe wa al ahly tulia uone mpira leo! leo kuna lile pira biriani pira lililoshiba haswaa!,chakufanya kaa na note book mchukue maarifa ya mpira!.. hizi sio enzi za mpira wa mdomoni hizi ni enzi za mpira wa mguu.
 
Yanga haiwezi shinda, ikishinda hii mechi nakunywa supu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…