Yanga imekata moto, Ijiandae kwa vipigo

I have suggested that, they need to "practice more" on how to penetrate low blocking team.
Attached here to, is my comments, (bellow is what I wrote)

Yanga wanahitaji kufanya mazoezi ya kutosha jinsi ya kupangua ngome ya watu 10, how to penetrate low blocking team
 
Sasa Dube anamzidi nini Mzize au mnapenda tu kuwakuza watu?
Clement Mzize ndio mshambuliaji bora zaidi ndani ya Yanga kwa sasa akifuatiwa na Baleke
Pole sana, kama mzize angekuwa bora dube asinge sajiliwa, or kuanzia benchi.
Chances ngapi dube ana convert kupata goli vs mzize?
Postioning wise? Danger threat level kwa dube ni kubwa zaid kuliko mzize


mzize anendelee kujiona kinda, muda hamsubiri
 
Wazo zuri sana, it is said, to get to the top is easier than to stay at the top. Hivyo Yanga ijitafakari, mwenendo ni wa kusuasua, kikosi ni kipana wengine pia kina Shehani, Baleke, Nondo, Gift, Kibwana, Kibababage na Mkude pia wacheze maana hawajulikani sana uchezaji wao na hawatakamiwa. Kuchezesha wachezaji wale wale kila siku nao ni binadamu wanachoka na pia wanajisahau, kugombea namba husaidia kuboost morale!!

But ni vizuri pia kuona timu zikiikamia sana Yanga maana zinaiimarisha na kuwa timu ngumu zaidi kuifunga. Dawa ni Yanga kuvifunga kibabe hivi vitimu na kuwa imara kama chuma sababu makombe yote mali ya Yanga.

Huu ni wakati Yanga itangaze kwa wachezaji kuwa kila mechi mbele yao ni fainali na kombe liko uwanjani.

Mkakati wa kuchukua points 6 za Simba uanze sasa muda huu now now maana Azam si competitor tena hajiwezi. Points 6 za Simba ndo zimebeba ubingwa wetu wa nne maana Simba kila mechi inabebwa.
 
Nenda kafundishe wewe unaandika gazeti refu hata danadana hujawahi kupiga jinga sana wewe yanga sio ya baba Yako acha shobo nayo
Endelea kunifuatilia na kunitukana,wewe si ni bingwa wa matusi!?
 
Mnahangaika bure tu, utadhani jana ndo kwa mara ya kwanza Yanga ya Gamond imekutana na timu iliyopaki basi asee... Taratibu timu inaingia kwenye mfumo wa Triple C konokono.
 
Labani og redio zipompa Aleyn
 
Bila mbeleko yanga ni weupe sana
 
Wasipoelewa hapa hawatokaa waelewe tena.
Yanga bingwa
 
Hivi Gift Fred bado yupo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…