Yanga imekata moto, Ijiandae kwa vipigo

mmeanza kulia dawa yenu inakuja na timu yenu hiyo
 
Kwani Aucho hakuwahi kupewa kadi,tokea aanze kucheza mpira?
amewahi kupewa mfano kwenye ngao ya jamii na Simba na ukiangalia moment ya kmc kabla ya Aucho kufanya madhambi ilikuw ni hatari ila yule Mao angewafanya mbaya ,kiujumla ligi imeanza kuchanganya
 
amewahi kupewa mfano kwenye ngao ya jamii na Simba na ukiangalia moment ya kmc kabla ya Aucho kufanya madhambi ilikuw ni hatari ila yule Mao angewafanya mbaya ,kiujumla ligi imeanza kuchanganya
Hatari wewe mpira unaangalia vipi,timu hatari ili attempt mara ngapi, short on target ngapi,wamedominate kwa asilimia ngapi. Tukianza na hao KMC na nyie Kolo FC siku ya ngao maana na nyie mlifurahi kupigwa kkmoja.

Dk zote watu wanachezea half yao halafu uje kusema Aucho kazidiwa,mpaka Yanga ikaamua kucheza mastriker watatu, halafu unasema wamedominate. Mpira unatizama vip ww/ unaangalia vitu gani.

Mda wote Yanga wapo kwenye nusu yao KMC halafu unasema Mao alikiwa mkali.
 
kmc ali win kwa kias kikubwa kuwathibiti bahati mbaya ni kufungwa goli la mapema na kuhusu kmc kuzuia zaidi ni kumheshimu mpinzani kwa kuwa wako na ubora wao
 
Lete timu yako ndiyo utaelewa..........

Standard ya Yanga tangu last season ni 2+ goals,........hata tulipowapiga Simba moja kwenye ngao mlijisifu sana na kuona mmejitahidi sana,mkisahau kuwa mmefungwa.......tukampiga Azam 4,hofu yenu ikarudi.......Yanga ikianza kutoa vipigo mtaanza kusema GSM ananunua mechi,Saizi mikia mnashinda hatusikii ya Mangungo out au try again......tukiwapasua mnaanza kelele tena......... mbumbumbu dawa yenu inachemka
 
kmc ali win kwa kias kikubwa kuwathibiti bahati mbaya ni kufungwa goli la mapema na kuhusu kmc kuzuia zaidi ni kumheshimu mpinzani kwa kuwa wako na ubora wao
Waliwin kututhibiti kwa kucheza kwenye half yao, halafu unaema tulizidiwa, wewe timu inacheza na washambuliaji watatu,kiungo tunadominate halafu unasema Yanga walizidiwa. Sio KMC tu hata wewe ukikutana na Yanga,utapaki basi sababu huna uwezo wa kufunguka ukikutana na Yanga.
 
Waliwin kututhibiti, halafu unaema tulizidiwa, wewe timu inacheza na washambuliaji watatu,kiungo tunadominate halafu unasema Yanga walizidiwa. Sio KMC tu hata wewe ukikutana na Yanga,utabaki bus sababu huna uwezo wa kufunguka ukikutana na Yanga.
Yaan tupaki bas kwa ninyi vyura Fc mpira ni mkakati sio kucheza tu mnabahati sanaa ngao ya jamii mngelala na viatu
 
Yaan tupaki bas kwa ninyi vyura Fc mpira ni mkakati sio kucheza tu mnabahati sanaa ngao ya jamii mngelala na viatu
Kwani kwenye ngao mlifanyaje au umesahau na mkashangilia kupigwa moja. Sasa ww njoo halafu funguka ,wewe unazani kocha wenu mjinga kupaki basi siku ile ya ngao ya hisani.
 
Ogopa Yanga inayoongelewa imekatq moto

Simba anakuwa

Sadaka Yake
 
Kwani kwenye ngao mlifanyaje au umesahau na mkashangilia kupigwa moja. Sasa ww njoo halafu funguka ,wewe unazani kocha wenu mjinga kupaki basi siku ile ya ngao ya hisani.
game approach umekomaa kupaki bas ....na nyie fungukeni
 
Bongo kila mtu mcha-mbuzi,kwa mtu anayejua mpira hawezi kusema yanga imeshuka ubora bali ndo kawaida kimpira..huwezi ukashinda kila mechi magoli mengi!
 
Jibu hoja acha kujisifia upuuzi, aliyekuambia mimi siujui mpira nani kwani wewe unajua mimi nimeanza kufuatilia mpira lini, huwa mnaonesha mahaba ya wazi wazi kwa timu zenu kwa kisingizio eti mmeanza kufuatilia mpira zamani
 
Reactions: Tui
Siyo kwamba unalikwepa swali Jadda kiaina? Mi nakuomba mjibu halafu ndiyo umkaushie toka hapo.

Ova
Mkuu sijaelewa yani kwamba ubora wa timu ni kufunga magoli mengi au, maana kwenye hoja yake kaonesha kwamba ubora wa timu siyo kufunga magoli mengi, tofauti na wanavyosemaga mashabiki wa timu yake akiwemo yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…